Uchaguzi 2020 Vurugu na kukosa ustarabu wa kisiasa kutaikosesha kura CHADEMA

Thread kama hii huwa nasoma na kupita tu, kuchangia naona ni kupoteza muda, ila kwa leo mchango wangu ndio huo.
 
Sasa ndiyo fanyeni siasa za kisitarabu Kama wenzenu ili tuwapime Kama mnauwezo wa kuendesha Serekali!!
 
ZWAZWA wewe haya ya huyo anayejiita KICHAA huyaoni.

ninaumizwa sana na watu hasa mtz kutokuwa wakweli. nipe mfano tu wa tangu kampeni hizi kuanza ni wapi vurugu zimetokea na ikwa prooved kwamba ni hao uliowasema ndio wamesababisha vurugu. achana na tukio la kule kusini
 
Ni ujinga tu mkuu. Halafu bahati mbaya unaongelewa na mtu ambaye yeye mwenyewe hana hakika ya kesho yake.
 
Thread kama hii huwa nasoma na kupita tu, kuchangia naona ni kupoteza muda, ila kwa leo mchango wangu ndio huo.
Mchango wako wa nini sasa? Si bora ungechangia nauli za Lissu aende Mbeya.
 
ninaumizwa sana na watu hasa mtz kutokuwa wakweli. nipe mfano tu wa tangu kampeni hizi kuanza ni wapi vurugu zimetokea na ikwa prooved kwamba ni hao uliowasema ndio wamesababisha vurugu. achana na tukio la kule kusini
Kwa hiyo unadhani kuwafurusha Tbc namna ile ni ustaarabu? Wangepopolewa mawe?
 
hivi waliofurushwa walitenda haki?!? najiuliza ni wehu waliowafurusha?!?,ukinyimwa haki ukaidai ni vurugu?!? niambie sababu iliyofanya wafurushwe kama haipo ni sawa haikuwa ustaraabu lakini kama ipo acha ushabiki uisadie nchi yako
 
Sasa ndiyo fanyeni siasa za kisitarabu Kama wenzenu ili tuwapime Kama mnauwezo wa kuendesha Serekali!!
Kisitarabu[emoji777]
Kistaarabu[emoji818]

Serekali[emoji777]
Serikali [emoji818]

Kajifunze kwanza jinsi ya kuyaandika hayo maneno kabla sijakuuliza unaposema siasa za 'kisitarabu' unamaanisha nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…