Vurugu Umbwe-Lyamungo: Miaka 12 baadae

Mawenzi advanve na umbwe advance walikuwa wanaiva sana....pub Alberto ndo yalikuwa makutano. Naomba ziku zirudi nyuma. Mguu wako tu uko town halafu kinywaji kutoka umbwe[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Haha dah umenikumbusha mbali pub alberto.

Pale pub alberto, Kuna mdingi flani aliagiza aletewe demu ghafla anaona ni binti yake ndio analetwa ambae alikuwa anasoma shule flani hivi ya boarding pale moshi

Yale wote walichokaa..
 
Mkuu unazimia kwa njaa ya siku 1 tu ? Dah kweny harakati za kibandidu watu tunakaa siku 3 hatujagusa ktu had ukinywa maji unaskia utumbo unavyouma
[emoji1787][emoji1787] mkuu hapo nilikuwa nimetembea takribani 11km kwa mguu mpk town, msosi wa mwisho ulkuwa wa jana yake jioni na misosi yenyewe mibovu mkuu! Siku 3 labda ukiwa ktk resting state[emoji1787]
 
Before vurugu hizo, umbwe kulikuwa na viti vya ushindi ambavyo vilichukuliwa lyamungo miaka ya nyuma kwenye vurugu zingine, hii ilikuwa inahamasisha sana na vijana wa umbwe tulijiona kina Rambo,

Bahati vurugu zinatokea wengine tulikuwa ndio tumemaliza tu
 
Chuki dhidi ya shule na shule ni mbaya sana nakumbuka kilichotokea baina ya Bishop Moshi secondary na Mboni secondary 2002 hakukutokea vifo ila vipigo vizito
Ngoja waje watuletee za Tambaza v/s Azania, na story za Jamaa wa Tambaza alietokaga Sauz akaleta teknolojia ya mabomu ya petrol. Ndio kisa cha O-Level kuvunjwa Tambaza.
 
Haha dah umenikumbusha mbali pub alberto.

Pale pub alberto, Kuna mdingi flani aliagiza aletewe demu ghafla anaona ni binti yake ndio analetwa ambae alikuwa anasoma shule flani hivi ya boarding pale moshi

Yale wote walichokaa..
Chimbo matata sana lile dah nimerudi moshi nkapachekii ila ipo siku nitaingia tena
 
Huyu jamaa (financial analyst) analeta hisia za kidada humu. Hata jana nashangaa anapanic alafu hata hatujuani. Alihadithiwa huyu hakuwepo kwenye pira.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah basi headmaster alitupiga kamba alikuwa Wandiba kutoka mara. Alikuwa mbabe ila alinyoosha mikono baada ya ile fujo alihamishwa. Ila vioo na milango ilivunjwa na Umbwe je? Ni nani aliyetoa hela ya marekebisho?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii story haijakamilika ....
Anywa ngoja niongezee kipande
Katika purukushani watu wakarudi shuleni (ubwe) wakafika mapaka stoo!
Stoo ikavunjwa kwamba haiwezekani watu wapigwe kizembe vile .
Kila kifaa kikatolewa wakati huo wengine wamepewa zamu ya kulinda maeneo yanayozunguka shule kwa code names .
Wadau wakasema haiwezekani kwenda Lyamungo na miguu hivyo karandinga la shule (gari ya kuni) ikawashwa kuna mwamba mmoja wa chuga akapiga gea watu wakaelekea lyamungo huku wengine wanaenda na miguu yaani ni kama hawa wa gari walikuwa watu wa backup Mlinzi alitulizwa chuma ikawashwa.
Wazee wa karandinga walipakia viti na mazaga kibao pale lyamungo ni kama walienda vitani waka teka nyara mali za wapinzani.
Lyamungo walikusanywa katikati kama mateka na kupigwa sana makofi .
Nafikiri bado baadhi ya viti vya lyamungo viko pale Umbwe karibu na dorm three au maeneo ya karibu na lab ya biology.

Hii story ni kwa mujibu wa dodoso za miaka hiyo .
 
Mzee Manase. Mzee kenge sana yule ila uboyzini akili huwa fyatu. Kuna wanafunzi walikua wanakula mke wa mpishi dah.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vile viti vilirudishwaga Lyamungo mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vile viti vilirudishwaga Lyamungo mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mdogo wangu viti vipo nilipita pale 2013 kumpeleka dogo nikavikuta baadhi maeneo ya karibu na nyumba ya Yule Maza muuza maandazi.

Sema mimi kama mzaliwa na mkazi wa DSM kwa experience ya maisha haya mpaka sasa niseme tu watu wa mikoani wana roho ngumu sana.

Kupigana mapanga,mtu kumwagiwa jagi la uji ni kawaida sana dah halafu kuna manzi alijichanganya wakampiga ambush watu kama 10+ wakamtupa Kwao mlangoni aisee watu walikuwa wanalala mbele na wauza vyakula ila Yule mzee muuza chai pale nje watoto wake watu walikuwa wanakaa nao mbali.

Watu wanatunga maswali wanawapelekea watoto wa somsom wanawadanganya ni necta na kupita nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…