Vurugu Umbwe-Lyamungo: Miaka 12 baadae

Vurugu Umbwe-Lyamungo: Miaka 12 baadae

Chimbo matata sana lile dah nimerudi moshi nkapachekii ila ipo siku nitaingia tena
Daah aisee nakumbuka ikifika Ijumaa tukiona zile taa zinamulika mawinguni tunapata mzuka wa kutoroka shule. Watu tunatupia mnyonyo chini converse safi haoo kwenye daladala mpaka town. Mara nyingi tunatoroka ijumaa usiku mpaka jumapili jioni ndo tunarudi. Huko watu ni full kununua milupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdogo wangu viti vipo nilipita pale 2013 kumpeleka dogo nikavikuta baadhi maeneo ya karibu na nyumba ya Yule Maza muuza maandazi.

Sema mimi kama mzaliwa na mkazi wa DSM kwa experience ya maisha haya mpaka sasa niseme tu watu wa mikoani wana roho ngumu sana.

Kupigana mapanga,mtu kumwagiwa jagi la uji ni kawaida sana dah halafu kuna manzi alijichanganya wakampiga ambush watu kama 10+ wakamtupa Kwao mlangoni aisee watu walikuwa wanalala mbele na wauza vyakula ila Yule mzee muuza chai pale nje watoto wake watu walikuwa wanakaa nao mbali.

Watu wanatunga maswali wanawapelekea watoto wa somsom wanawadanganya ni necta na kupita nao
Sema saa nyingine vipururu ndo vilikua vinafanya watu wawe wanafanya mambo ya ajabu. Maana zamani walikua wanaleta madem toka Machame girls watu wanaruka majoka. Ila ilitokea siku moja waliletwa watu wakatoboa matairi ya magari. Nia ili wachelewe kuondoka watu wafanye yao. Hiyo ilipelekea madisko kupigwa marufuku maana madem wengi walipata ujauzito.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah aisee nakumbuka ikifika tukiona zile taa zinamulika mawiguni tunapata mzuka wa kutoroka shule. Watu tunatupia mnyonyo chini converse safi haoo kwenye daladala mpaka town. Mara nyingi tunatoroka ijumaa usiku mpaka jumapili jioni ndo tunarudi. Huko watu ni full kununua milupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lile gomalilikuwa linaanza j5 alhmis had jmos na zote tunampoza mlinzi (kaka bony) buku tunakula kona
 
Noma sana nadhani nilishawahi kukubambia wewe [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]probably maana ilitokea umbwe wakawa partner wetu pale Alberto. Ikawa never miss maana hata kiingilio mlikuwa mnatulipia. Siku nimemaliza shule narudi home nilisikitika sana kukosa raha za moshi ( raha halali kama hizo za clubbing, shopping na kuzurura tutakavyo maana tulikuwa hatubanwi shule ).
 
Hujafikiria juu ya Golikipa SHABANI aliyeugua mpka kufa 2008?Tuliandamana mpka kwa mkuu wa mkoa...tukasambaratishwa ktk shule za kata..mpka leo sidhani kama kuna o level pale Lyaboys
Wewe unachanganya mafile. Dogo shabani alifariki 2006 na ile vita iliewa jina la stone war 3. Vita iliyowaondoa form 3 na form 4 ilikuwa ni KIMATA-KIMATUKA WAR 1 hi ilikuwa mwezi wa 2 hivi na sababu kubwa ilikuwa ni ugomvi kati ya viranja na raiya
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]probably maana ilitokea umbwe wakawa partner wetu pale Alberto. Ikawa never miss maana hata kiingilio mlikuwa mnatulipia. Siku nimemaliza shule narudi home nilisikitika sana kukosa raha za moshi ( raha halali kama hizo za clubbing, shopping na kuzurura tutakavyo maana tulikuwa hatubanwi shule ).
Hapana mimi nilisoma Lyamungo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa (financial analyst) analeta hisia za kidada humu. Hata jana nashangaa anapanic alafu hata hatujuani. Alihadithiwa huyu hakuwepo kwenye pira.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha utoto na bangi za lyamungo wewe dogo

, wewe mwenyewe una hisia kali ndio maana ulipata hadi demu au mke, na inawezekana hata wewe unalia during s*x.

Haiwezekani mtu anaongea shit kuhusu tukio la kijinga na maafa alafu mimi nikakaa kimya.

Ujinga wa umbwe niliisha acha, ila nyie ujinga wa uboizini bado mnao..haiwezekani mpaka sasa mnaushindani wa kijinga na wakati watu walikufa na wengine kupata makovu hadi sasa.

Very stupid and insane of you.
 
ah sio poa, mama sasa alivyokua analia, dogo alikua anaitwa Ayubu, mama aliletwa na defender ya magereza Karanga, gari lipo speed imewasha taa, ametua tuu pale mama ni mayowe, "uuwih mwanangu Ayubu, mbona wenzako waliweza kukimbia, tuseme wewe ndo ulishindwa kukimbia kati ya hawa wote?" hapo tupo Parade tunamsikiliza RPC na mkuu wa wilaya, huku ugeni wa waziri wa elimu ukiwa njiani.
.
.
aisee na ubishi wangu mimi na wa jamaa mmoja hivi kiranja wa ulinzi, tulilia!! yaan tulijiona na hatia, maneno yale yameshindwa kutoka kichwani miaka 12 sasa, hizi ni story tuu, ila ungetazama tukio ungeshangaa, hizi roho madogo wametolea wapi,
.
.
asubuhi watu wamefunga mashati kama kundi la kigaidi la alqaeda, wanasalimiana kwa lugha za Code kama majasusi, saa kumi usiku kibosho na zile kahawa ni giza, tunakutana na kina mama wa kibosho wanatulilia, jamani wanangu rudini, mmezaliwa na wanawake kama sisi, msiende! hakuna anaelewa!!
Mkuu ulikuwepo?. Ila hizo roho kweli sijui mlizitoa wapi?. Kwa hiyo matron wenu wa zamu mlimtoroka?
 
Wewe ni kichaa, malaya wa vurugu, na bado una ushindani wa kitoto kama vile bwana yako ndie aliekufa siku ile.

After 12 years hakuna ulichobadilika, umebakia bangi kichwani za uboizini, sawa nahisia kama demu ..lakin ambae ana hisia kama zangu baada ya miaka 12 juu ya vile vifo basi atakuwa ni mtu mzima na mwenye humanity.

Lakini kwa mjinga kama ww unamdhihaki ayubu eti kisa ni upande wetu basi inaonesha ni jinsi gani ulivyoshetani na bado maisha yako yamejawa na ukatili.

Miaka 12 baadae mtu mzima kama mimi nifeki death ili nipate tuzo gani humu, ili historia ibadilike.

Unaandika utumbo kama huu bila kufikiria upande mwingine hata wa familia ya ayubu, unasifia ujinga tulioufanya miaka hio, alafu unadhania wewe uko mentally fit..wewe leo unafamilia alafu unaona mwanao aameuliwa alafu unasoma coment ya utumbo kama wako
Mkuu,hapo hakuna namna analeta tena za kule Lyamungo sio?. Ni kumuibukia huko aliko
 
Mkuu ulikuwepo?. Ila hizo roho kweli sijui mlizitoa wapi?. Kwa hiyo matron wenu wa zamu mlimtoroka?
Boss

No patron, no matron, hakuna fensi, walinzi wanaogopa wanafunzi, walimu wanaogopa wanafunzi..

Ukweli ni kuwa miaka ile uboizini amani, ulinzi haukuwepo, ilifika wakati mimi nikawa na lala na siraha pembeni ya godoro langu.

Kuna wakati nilipigana na jamaa mmoja bonge la mtu wa kisukuma, aliniponiona nimemshinda akataa kuning'ata pua aiote..ndio nikapiga kilele jamaa wakaja kuachanisha.. zikatapakaa damu kila kona na nilikuwa nimechukua uji, ulijaa damu wote...

Mwizi au spy akipatikana anapigwa na bweni zima kuanzia usiku hadi alfajiri..na hakuna mlinzi au mwalimu anaekuja

Lot of bad memories, nilipomaliza shule umbwe..sikuamini na nilishukuru mbigu.
 
Boss

No patron, no matron, hakuna fensi, walinzi wanaogopa wanafunzi, walimu wanaogopa wanafunzi..

Ukweli ni kuwa miaka ile uboizini amani, ulinzi haukuwepo, ilifika wakati mimi nikawa na lala na siraha pembeni ya godoro langu.

Kuna wakati nilipigana na jamaa mmoja bonge la mtu wa kisukuma, aliniponiona nimemshinda akataa kuning'ata pua aiote..ndio nikapiga kilele jamaa wakaja kuachanisha.. zikatapakaa damu kila kona na nilikuwa nimechukua uji, ulijaa damu wote...

Mwizi au spy akipatikana anapigwa na bweni zima kuanzia usiku hadi alfajiri..na hakuna mlinzi au mwalimu anaekuja

Lot of bad memories, nilipomaliza shule umbwe..sikuamini na nilishukuru mbigu.
Kwa upande mmoja mlikuwa mkiipenda shule na kuipigania na kuimba mwimbo wake kama patriots.
Kwa upande mwingine mliichukia kwa yaliyokuwa yakiendelea pale.
 
Tuta mkumbuka sana kamanda Ayubu, alikuwa rafiki, msela, mcheshi, jembe la ukweli. Kama kifo kilikuwa kinamwita maana aliamka asubuhi na mapema bila kumshtua hata msela mmoja, hakuna aliye mwona wakati anatoka dorm alivaa vipi alitoka na nani zaidi ya kuja pata taarifa baadae hatunaye tena.[emoji17][emoji17][emoji17]
Natafuta namba ya Cde yule jamaa wa chember dom 4....
 
Ki ukweli kwenye Battle ya Kwanza pale Lyasikika SEC Nilikuwepo ilipigika Vita kali sana Lyamungo wakaondoka wakaenda kuchukua zana za kazi mapanga,slesha, Marungu.
Nakumbuka wale walinzi wa Kwenye Kahawa Tacri Walipiga Risasi hewani lakini hazikusaidia ilivunjwa miche mingi sana ya Kahawa, Ki ukweli nilikua ni mgeni Form Five pale Umbwe nachokumbuka kuna dogo mmoja wa Form Four alininionyesha njia kupita mto kagera chini nakumbuka nilirudi Umbwe Saa mbili usiku maana ilikua ukipita unakutana na wazee wanakuambia jamaa wamevaa nyeusi wamepita muda si mrefu inabid tubadilishe njia madogo wa form four walikua wanajua sana njia za kule.
Ile nafika Umbwe nimechoka sana jamaa wakasema Lyamungo wanakuja nilichanganyikiwa aixee form five wageni tulipewa lindo la uwanjani huku ambapo sio rahisi jamaa kupita lazima waanze huku somsom au geti kuu la mlama pale huko walikaba Form six na four.
Baada ya kukaa muda mrefu jamaa hawajatokea ikapigwa kengele tukakusanyika tukakubaliana kwamba 11 asubuhi tunawavamia jamaa kule lyamungo.
siku ya tukio kwakweli niliishia uwanjani desert maana nilikua hoi itaendeleeea......
#MTI SAFIII
 
Kumbe Kilimanjaro imesomesha watu wengi hivyo!! Hello kwa Kilimanjaro mmetisha Sana wazee [emoji1][emoji1][emoji1]
Moshi technical
Same
Old moshi
Lyamungo
Umbwe
Weruweru
Siha
Kisiwani
Maua seminary
Mawenzi
Kifaru
Kisiwani
Jk nyerere
Nyerere


Hizi ni mifano ya shuke kongwe tu aise huu mkoa umekuwa na shule nyingi bora kitambo hivyo lazima watu wengi wawe wamepita huko
 
Back
Top Bottom