Vurugu za Bungeni: Tundu Lissu, Anastahili Adhabu Kali?!. Ni Mtundu Toka Shule!.

Niko pamoja naye, nime sikiliza mahojiano yake siku ya juma tatu asubui pale tbc fm.

Jamaa ana tema nondo na kujenga hoka, " watanzania Wana lalamika mitandaoni kuwa Wana onewa, ila kuji tokeza ni ngumu.
Tuungane kupambana dhidi ya udhalimu".


ana sema kikwete Ali kubali maridhiano aka weka mezani muswada, ila mama ana porojo za mdomo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…