Vurugu za Bungeni: Tundu Lissu, Anastahili Adhabu Kali?!. Ni Mtundu Toka Shule!.

Makinda amepwaya sana tatizo lake hajitambui tu, Tundu yupo right kupigania haki
 
Wajaribu kumfungia kuhudhuria vikao vya bunge waone moto wake.
 
Mkuu Pasco, hongera kwa mchango wako uliofuata baada ya bandiko, sitaki kuwaza sana kwa nini mara nyingi unapigiaga chapuo watu fulani na kuonekana kama unanukia marashi ya ukanjanja, lakini kwa hili natamalaki kwa kujua kumbe na wewe huwa una moyo na maoni ya kizalendo na nchi hii na kuchukia upuuzi uliokithiri wa awamu hii japo sijajua kama ni another trick kama za wale jamaa wa new habari na CDMA!!!
 

Huogopi Ban???? maneno makali yanayokubalika yapo....tumia kufikisha ujumbe.....si hlo lenye red
 

Mkuu umehamia digitali kweli?
 
Mkuu Pasco,kwa mujibu wa hoja yako mimi nahisi Tundu Lissu akili zake zimepitiliza ndio maana anasumbua.
 
Haya unamjuwa, kama alikuwa ana fujo Ilboru, pale si Ilboru, kuna wenye fujo zaidi yake na kuna vichwa zaidi yake.
 
Spika na Naibu wake waondolewe au vinginevyo wafuate kanuni za Bunge pasipo kupindisha kanuni hizo na kuleta upendeleo kwa wabunge wa CCM. Wasipofanya hivyo tutegemee zaidi kukosolewa na wabunge wa upinzani, hasa Mh. Tundu Lissu.
 
Pasco.
Ilboru sekondari kama ilivyo Mzumbe Sekondari haikuwahi kuwa special school maisha yake yote ni kwa kipindi fulani.... hivyo basi umedanganya kusema wakati wenu ilikuwa special school, nadhani hapa ni sifa za bure mnakata... aliyesoma ilboru... naomba aangalie hiyo miaka ya Tundu Lisu kulikuwa na u-special school kati ya 1983 hadi 1986? O,'level?
 

Hapo kwenye bluu nimeshakukataza tokea jana husikii,kipindi cha sitta mijadala mizito kama epa na richmond aliruhusu ijadiliwe na ccm wenzake wakasulubiwa vya kutosha!!!idadi sio ishu we msukuma,slaa peke yake alikuwa analiyumbisha bunge zima,sitta hakuwa mbabaishaji,kanuni zote zilikuwa kichwani,..yani kumlinganisha sitta na makinda ni matusi makubwa kwa mzee sitta
 
Lissu ni kichwa/kipaji maalumu......tatizo Bunge limejaa vilaza wengi ukianzia kwa spika na naibu wake na 75% ya wabunge wa CCM ni vilaza baadhi yao ni mafisadi wa Elimu! mfano Lukuvi ni mwalimu wa UPE
 
JK alishawahi kusema kuwa "Ni afadhali Slaa awe Rais lakini sio Tundu Lissu awe Mbunge(sio Rais)"
Kumbe alishasoma alama za nyakati kitaambo.

Kitambo sana mbona?
Lissu anafahamika sana kwenye anga za sheria za haki za binadamu. Rufaa ya Godbless Lema ni ushahidi mwingine.
wa kazi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…