Vurugu za Bungeni: Tundu Lissu, Anastahili Adhabu Kali?!. Ni Mtundu Toka Shule!.

Vurugu za Bungeni: Tundu Lissu, Anastahili Adhabu Kali?!. Ni Mtundu Toka Shule!.

Mkuu Pasco, hata sie ni ma-collegemate wa Tundu Lissu na tunamjua vizuri kwenye ubishi wa 'kunji' pale Rev. Square. Lakini nashauri arudi kwenye fani yake ya sheria kwani ili uwe mwanasiasa inabidi uwe mnafiki kidogo na uwe tayari kubadili misimamo kila unapoona maslahi yako upande mwingine.

Hii misimamo ya Tundu Lisu isiyoyumba, tumayaona kwa Mchungaji Mtikila hadi leo amepoteza ufuasi ingawaje mara zote amesimamia haki na ukweli.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mpango, Ilboru ile ilikuwa ya vipanga wa kutoka kwenye umande na sio hii ya sasa ya spoon fed vipanga toka academy!.

Leat ni Chama cha Wanasheria wa Mazingira, wamefight sana ushenzi uliofanywa Loliondo, Yaeda Chini, sumu za Barick kule mto Tigiti na ushenzi mwingine wote tunaofanyiwa kwa jina au la hifadhi, au uwekezaji!.

Kuhusu sisi Watanzania, ni watu watulivu, watu wa upendo na mshikamano, hivyo viongozi wetu wanatutake for granted, hata wakifanya chochote, sisi ni yes man!, kuna wakati sikumbuki ni nchi gani, mkate ulipanda bei by 20%, maandanano nchi nzima, waziri mkuu wa nchi hiyo aling'olewa!. Sisi mtu anakufa mikononi mwa polisi picha zinasema kila kitu na wote wametulia tuu as if nothing happened. 1976 nikiwa mdogo bado, Mzee wangu aliwajibishwa kwa ile kesi ya mauji Mwanza, kuanzia Waziri wa mambo ya ndani na wa usalama, walijiuzulu, IGP, Boss wa TISS, walistaafishwa!, RPC, RSO, OCD, DSO walipandishwa kizimbani!. Leo tangu ile ya Maandamano Arusha, mtu kapigwa risasi stend, polisi wakatengeneza a make belive video kuwa wamewaua watu waliokuja kuvamia kituo cha polisi!, ya Mwangosi ndio usiseme, no one amewajibika as if nothing happened nasi tunawashangilia na 2015, tunawapa term nyingine tena!.

Tatizo sio viongozi wetu, tatizo ni sisi Watanzania, sisi ni mandondocha kabisa!, hatuchagui viongozi kwa sifa kwa sababu hata JK tulipomchagua kwa ile landslide tulimchagua kwa sifa zipi?. Spika Anne aliletwa ili kumkomoa Six awekwe bench ili kutoa fursa ya kumsafisha EL na dodoki litapita 2014!. Eti sifa kuu ni "gender!". Nimeshazisikia fununu kuwa kwa vile kuna mafahali wanapigana vikumbo kuigombania magogoni, kuna sketi nyingine inaandaliwa, ili kumleta a compromised candidate chama kisimegeke!. Ndani ya CCM, 2015 ni zamu ya Zanzibar, Shein is the man!, ila wanahofia wasiitoe magogoni kwa sadakawe kwenye upepo wa M4C!.

Amini nakuambia jinsi tulivyo mandondocha, hiyo 2015, hata tukiletewa sketi nyingine, tutaichagua tuu!, na ni CCM tena!.

Pasco.
dah.... Umepiga gangnum style aisee
 
Pasco tatizo siyo sketi kaka yangu tatizo ni uwezo wa mtu.Inaweza ikawa sketi lakini uwezo wake ukawa mkubwa kuliko suruali.Kuna wanawake ni vichwa hahutaji kuuliza,ila kwa Spika wetu uwezo hana au kama anao uwezo wa kufanya maamuzi magumu basi hana wazungu wanaita GUTS.Na pia hautendei haki ubongo wake mwenyewe.Hilo tu.
 
Heshima yako mkuu Pasco.

Nafurahi kusikia kwamba ulisoma vipaji maalum..'special school'.

Nichangie kwenye andiko lako..LEAT sijafahamu ni nini.

Kuhusu Spika: watanzania tunaona lakini viongozi wetu wamejibinafishia hisia zetu, fikra zetu na mapenzi yetu. Wanachoona kwao ni sahihi ndio basi na kwa wananchi kitakuwa ni sahihi tu. Soma signature yangu..they give us what they think we deserve and not what we want (not what we desire to have).

Bunge la sasa limepelekea hata lile kosa la 'kulidanganya Bunge' sasa lionekana halina nguvu kulinganisha na enzi 'mhe. naomba uliza swali..' na enzi za 'standard and speed'.

Hili la mwisho la majaribio ndio umemaliza kabisa. Sumu haionjwi jamani! Hata madaktari wanaanza mafunzo ya upasuaji kwa panya, baadae wanaambatana na madaktari bingwa kabla ya kuruhusiwa kufanya wao wao peke yao. Haya majaribio napendekeza yawe kwenye UWT, viti maalum, Wilaya (DC) hata Mikoa (RC)!

Wanasheria wamazingira.
huyu tulimzoea sana Channel Ten enzi hizo.
 
Mkuu Mpango, Ilboru ile ilikuwa ya vipanga wa kutoka kwenye umande na sio hii ya sasa ya spoon fed vipanga toka academy!.

Leat ni Chama cha Wanasheria wa Mazingira, wamefight sana ushenzi uliofanywa Loliondo, Yaeda Chini, sumu za Barick kule mto Tigiti na ushenzi mwingine wote tunaofanyiwa kwa jina au la hifadhi, au uwekezaji!.

Kuhusu sisi Watanzania, ni watu watulivu, watu wa upendo na mshikamano, hivyo viongozi wetu wanatutake for granted, hata wakifanya chochote, sisi ni yes man!, kuna wakati sikumbuki ni nchi gani, mkate ulipanda bei by 20%, maandanano nchi nzima, waziri mkuu wa nchi hiyo aling'olewa!. Sisi mtu anakufa mikononi mwa polisi picha zinasema kila kitu na wote wametulia tuu as if nothing happened. 1976 nikiwa mdogo bado, Mzee wangu aliwajibishwa kwa ile kesi ya mauji Mwanza, kuanzia Waziri wa mambo ya ndani na wa usalama, walijiuzulu, IGP, Boss wa TISS, walistaafishwa!, RPC, RSO, OCD, DSO walipandishwa kizimbani!. Leo tangu ile ya Maandamano Arusha, mtu kapigwa risasi stend, polisi wakatengeneza a make belive video kuwa wamewaua watu waliokuja kuvamia kituo cha polisi!, ya Mwangosi ndio usiseme, no one amewajibika as if nothing happened nasi tunawashangilia na 2015, tunawapa term nyingine tena!.

Tatizo sio viongozi wetu, tatizo ni sisi Watanzania, sisi ni mandondocha kabisa!, hatuchagui viongozi kwa sifa kwa sababu hata JK tulipomchagua kwa ile landslide tulimchagua kwa sifa zipi?. Spika Anne aliletwa ili kumkomoa Six awekwe bench ili kutoa fursa ya kumsafisha EL na dodoki litapita 2014!. Eti sifa kuu ni "gender!". Nimeshazisikia fununu kuwa kwa vile kuna mafahali wanapigana vikumbo kuigombania magogoni, kuna sketi nyingine inaandaliwa, ili kumleta a compromised candidate chama kisimegeke!. Ndani ya CCM, 2015 ni zamu ya Zanzibar, Shein is the man!, ila wanahofia wasiitoe magogoni kwa sadakawe kwenye upepo wa M4C!.

Amini nakuambia jinsi tulivyo mandondocha, hiyo 2015, hata tukiletewa sketi nyingine, tutaichagua tuu!, na ni CCM tena!.

Pasco.

Pasco tutake radhi watz, sisi siyo ndondochas...Mwanza,Arusha,Ubungo na sehemu nyingine ni ushahidi tosha kuwa watz wanachagua mabadiliko, ila mara wakiondoka/hata wakiwepo vituoni tume ya uchaguzi/vyombo vya usalama vinabadili matokeo, lianze vuguvugu la kutaka tume huru ya uchaguzi sasa, katiba mpya chini ya Warioba si kitu cha kutegemea...vyombo huru vya habari tz haviwaandai watz(mtaji wa ccm) kuelekea uchaguzi mkuu 2015..tunashuhudia sasa jwtz wanavyotumika kudhibiti vijana..2015 ni hatari!...dawa ni tume huru kweli ya uchaguzi.
 
Duh! Mag3 una wajukuu wangapi sasa?

Mh. Tundu Lisu ananikumbusha mbali! Mwaka 1961 tukiingia Form 1, haikuchukua muda darasa letu, pamoja na kuwa vinyoya, likajulikana kama "siasa kali" (wakati huo hatujapata uhuru). Bahati mbaya wengi wa vipanga darasani walilazimika kuchukua masomo ya sayansi kwani huo uhuru wa kuchagua haukuwapo sana. Nina hakika mtu kama Tundu Lisu, angesoma wakati huo, labda siasa angeisikia tu kwa mbali...sana sana angeishia kuwa Injinia au dakitari! Linalosikitisha ni kuwa wengi wa viongozi wa baadaye kutoka kundi letu (Wabunge na Mawaziri) ni wale ambao somo la "additional & applied mathematics" walikaa nao mbali kama ukoma. Kweli mambo yalikuja kubadilika!

Nahisi kizungu zungu hapa, mwaka 1961 palikuwepo na mfumo wa elimu wa form one? khaaaaa! Nisaidieni muliokula chumvi nyingi mkuu Mag3
 
Last edited by a moderator:
Pasco.
Ilboru sekondari kama ilivyo Mzumbe Sekondari haikuwahi kuwa special school maisha yake yote ni kwa kipindi fulani.... hivyo basi umedanganya kusema wakati wenu ilikuwa special school, nadhani hapa ni sifa za bure mnakata... aliyesoma ilboru... naomba aangalie hiyo miaka ya Tundu Lisu kulikuwa na u-special school kati ya 1983 hadi 1986? O,'level?

Hivi katika hao wote waliosoma "spesho" skulz kuna hata mmoja aliyevumbua chochote?

Na kwa chochote namaanisha kitu au kanuni yoyote ile katika jambo lolote lile?
 
Hawana lolote hao mkuu wanapenda kupindisha kanuni ili ziwapendelee lakini wamenoa maana wamekutana na bingwa wa kudadavua kanuni.
 
wanamuogopa sana huyo ndio sababu

sijaelewa why tumeamua ku-single out Lissu wakati we alls aw what happened

Kibaya zaidi ni naibu spika kushindwa kuweka wazi kifungu alichotumia in fact hakuna kifungu na mike zilikua zinadaka sauti live anahangaika kuomba kifungu, na kuuliziaulizia

waanze na yule andunje asiyejua kuongoza bunge wala kanuni

Imagine Ndugai angekua ni pilot hiyo ndege ingetua salama kwa ukosefu wa knowledge ya vifungu?
 
Back
Top Bottom