Vurugu za Hai, kuchomwa moto ofisi za CHADEMA Arusha na uasi uliobalehe na kukomaa ndani ya CHADEMA

Hoja za kis**nge kweli kweli hizi,ccm weshaishiwa hoja
 
Jamaa ni liongo hadi aibu Hivi mtu mzima unakaa tu na kuanza kutunga miuongo ili iweje?Go to hell!
 
VURUGU ZA HAI, KUCHOMWA MOTO OFISI ZA CHADEMA ARUSHA NA UASI ULIOBALEHE NA KUKOMAA NDANI YA CHADEMA​

Leo 12:15hrs 15/08/2020

Mwaka 2015 Lissu alisoma mashtaka ya kumfukuza CHADEMA aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, ndugu Zitto, mashtaka hayo yalikuwa ndio hitimisho la shutuma za muda mrefu toka 2012 juu ya Zitto kuwa msaliti ndani ya CHADEMA na aliyekuwa na uasi wake na washirika wake waliokuwa wakigomesha mambo mengi na kufanya uasi ndani ya CHADEMA.

Matukio mengi kuhusu CHADEMA ni matokeo ya kubalehe kwa uasi ndani ya Chadema kama wanavyoelezea Ben Saanane na Exaud Mamuya katika Uzi wa JamiiForum wa tarehe 19/12/2012 uliobeba kichwa cha habari "Tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya" wakati huo Zitto akiwa Naibu katibu Mkuu wa Chadema,Uzi huo ulibeba uasi wote uliokuwa ukifanyika ndani ya Chadema.

Chadema sasa wameanza kuratibu matukio wao wenyewe kwa ajili ya kuanza kuendea ajenda yao ya kuonewa eti wanaitetemesha Tanzania hadi wanaonewa na kupeleka habari kwa mabwana zao wazungu ambao wanataka kuharibu amani iliyopo Tanzania hivi sasa,ha ha ha Chadema pumzi imekata.

Bahati mzuri ukitaka kuona wapumbavu nenda CHADEMA ,Ukitaka kuona vibaraka wa wazungu nenda Chadema,Ukitaka kumwona shetani kwa macho makavu nenda chadema,huwa wanafanya vikao pamoja na Viongozi wa Chadema na juzi kawaambia wasimuachie Mungu Ila wamuachie yeye shetani.

Watanzania naomba mrejee Uzi wa tarehe 19/12/2012 katika Mtandao wa Jamii Forum uliohusu mipango ovu iliyokuwa inafanywa ndani ya Chadema wao kwa wao kabla ya kuhamishia mipango hiyo nje ya Chadema na kuisingizia Serikali,wakati huo Zitto akiwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema,waandishi wa Uzi huo ni Ben Saanane na Exaud Mamuya ambao waliweka wazi kila uovu uliokuwa ukifanyika ndani ya Chadema na nitanukuu nikirejea Uzi huo ulikwenda kwa jina la "Tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya" thread starter ni Ben Saanane Start date Dec 19, 2012.

- Rejea nukuu ya Ben Saanane katika thread ya "Tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya".

Ben Saanane anamwambia Zitto,Kazi hii ya kuzusha tuhuma kwa mtu ambaye tunaona anatuvurugia malengo yetu tuliifanya sana na ninaijua kaka! Mmesahau tumekuwa tukifanya jitihada za kumtenganisha mwenyekiti na Katibu mkuu kwanza ili tuweze kuwashinda kwa pamoja? Hili unalijua moyoni mwako . Sasa naomba kama hutanithibitishia tuhuma hizi nitaomba kwa kuwa wewe ni kiongozi wa chama kikao kiitishwe na nitamwaga yote huko.

Kama hutafanya hivyo, mimi nitaandika Barua kwa katibu mkuu ili uje unithibitishie tuhuma hizi pamoja na kundi zima la ‘Masalia'. Sitaogopa chochote na nipo tayari kwa lolote kwa kuusema ukweli. Sikutaka kujibu thread hii lakini tuhuma za kutaka kuuana ni serious allegations kwa kuwa zinahusu maisha ya mtu,mfanye mipango yenu halafu mje kunisingizia Mimi kwa kuwa sikula kiapo pamoja nanyi kwa mganga wa kienyeji.

Pia, vitisho vya kuaga kwenu havinihusu na wala havinitishi. Siamini kama ushirikina una nguvu kwangu na hilo unalijua na kundi lote la masalia linajua ndiyo maana ilishindikana mimi kwenda kula viapo kwa mganga wa kienyeji na unakumbuka vizuri! (Ati kula kiapo kwa kundi la masalia ili tusisalitiane katika kazi ya kukihujuma chama chetu). Afadhali Shonza na rafiki yangu Mwakajila waliniunga mkono katika kukataa hili. Ninaye Mungu anayenipigania na sitaogopa vitisho vyovyote. Mnanifahamu kwa hili, I dare you to challenge me! Twende kwenye vikao.

Zitto sishangazwi na kauli yako kwamba hunifahamu Mimi Ben Saanane,huu ni muendelezo wa siasa zile zile za kutosimamia ukweli na kuendekeza siasa za uongo na upotoshaji. Nimemkumbuka Mwanasiasa Mzee Wassira (Aliyekitabiria Chadema kwamba kitasambaratika) aliposimama na kumkana Mwanafamilia wake mbele ya vyombo vya habari kwa sababu ya siasa na katika mkakati wa kuendeleza ghiliba. Kama mwanasiasa wa Tanzania anaweza kumkana hata mwanafamilia au kusema chochote hakuna la kushangaza.

Sasa, kwa kuwa ushahidi ninao wa jinsi tunavyofahamina na jinsi tulivyoshirikiana kuwashughulikia viongozi wa juu wa chama pamoja na uhusika wetu katika hujuma dhidi ya chama nitaomba chama changu sasa kiitishe kikao cha dharura ili nimwage mambo yote nyeti na ushahidi nilio nao ndani ya vikao. Naamini katika vikao kwa kuwa ili Chadema ikue lazima mambo haya nyeti nikayazungumze kwenye kikao.

- Rejea nukuu ya Exaud Mamuya kwenye uzi huo huo Jamii forum uliosema "Tuhuma za Zitto na kundi lake toka kwa Mamuya".

Mamuya anamwambia Zitto ulichokifanya hapa ni kujaribu kuwaonyesha wana jamvi ya kuwa hatufahamiani na kuonyesha ya kwamba tunatumika na baadhi ya watu flani kama mara zote mnapoisingizia Serikali pasipo kujibu hoja ya msingi ya kwamba wewe Zitto ni mfadhili wa kikundi cha waasi wa Chadema.

Bwana Zitto labda nikukumbushe na nadhani utakuwa unakumbuka vizuri siku ambayo tulikuwa wote pale Mount Meru Hotel Arusha pamoja na Ruge wa Clouse Radio na Shyrose katika harakati hizi hizi na baada ya kuachana mlielekea Naura Sping Hotel kwa ajili ya tamasha la miss Arusha na baada ya pale tulipanga kukutana lakini ulipokuja kuniuliza niko wapi nilikwambia niko Tripple A Club.

Uliogopa kuja ukaniambia umechoka unaenda kupumzika so tuonane kesho yake lakini kesho yake hatukutafutana tena. Sasa unaposema hunifahamu mimi nakushangaa sana kamanda Zitto,Wewe ni muongo sana unapozungumza mbele ya Watanzania,unaweza kudanganya mchana kweupe ila kwa mtu mwenye taarifa nyingi daima atakwambia wewe ni muongo mkubwa uzungumzae uwongo bila soni,

Bwana Zitto ikumbukwe vizuri ya kwamba wewe ndo uliyekuwa ukichochea mgogoro wa Madiwani kwa lengo la kumdhoofisha Mh lema kisiasa na mipango na mikakati yote ilikuwa ikifanywa baina yangu mimi, wewe na Dr pamoja na madiwani waliofukuzwa Chadema.

Kitu ambacho Chadema hawapendi kusikia ni kuwa kuna wananchi hawawapendi,Sasa kama hawawapendi eti wamenunuliwa,Lakini kile kikundi kinachomlinda Lissu na kuua mtu jana eti ni cha watanzania wazalendo wasionunulika wasiovunja sheria wapenda haki makamanda wenye akili kubwa saana kuzidi mtu yeyote na ndiyo watanzania halisi mabwege sana ninyi Chadema,

Ebu jiulize chadema wana habari kuwa watafanyiwa fujo jimboni Hai, kabla hawajaenda Hai, Chadema Wana habari watachomewa ofisi Arusha halafu wanachomewa kweli,tena wanasema wamechomewa Office yao ya Kanda,Je hii sio wao Chadema wamepanga!?Maswali: kama walikuwa na habari ya fujo, mbona wasipeleke taarifa na mashtaka yao polisi,Pili,Ofisi nzima ya kanda haina walinzi hata baada ya kupata taarifa kuwa watachomewa ofisi!Tatu,kwanini matukio yote haya yatokee kanda hii tena Arusha mjini na jimboni Hai, kwanini isitokee Dodoma,Singida,Shinyanga, Musoma !?Chadema hii michezo yenu ni ya kizamani imeshapitwa na wakati.

Chadema wamekuwa kama Marekani kipindi walipoishambulia Meli yao iliyokuwa pwani ya Gereza la Guantanamo halafu wakamsingizia Fidel Castro na Cuba yake,Wafanye Chadema halafu wawasingizie Sabaya na CCM,Daah mmetufikisha pabaya nyinyi Chadema looh hatareee,Mabeberu ni watu wabaya sana wamemtuma Lissu aje kuiharibu Tanzania...

Tanzania ni kisiwa cha amani,Msumbiji kimewaka,wale magaidi waliofurumushwa kule kibiti na kujikita Mosimboa Da Praia jimboni Cabo Delgado,Masalia yao yamebaki kwa mfano wa Lissu ndani ya Chadema, Yameanza kuichafua Serikali ya CCM ionekane inawashambulia wapinzani,this is totally ridiculous!!!

Nimalizie kwako bwana Zitto,Mwaka 2014 ulitangaza kugombea Urais kupitia Chadema ukijiona wewe ndio the best na ulistahili kukalia drivers seat lakini ulifukuzwa Chadema kwa makosa kibao ya uasi,ukipata kutoa ile kauli ya kuwa "umeaga" na ukiguswa tuu "hata panya hatabaki!",

Niseme ule ni mkwala mbuzi tuu! maana Lissu alikufukuza kwa hoja nzito na leo mmeungana ha ha ha,it's ridiculous,ok,sipingi mila unaweza kuendelea tu kutumia "mila na utamaduni wako" kujilinda binafsi na kama unakusaidia,ila kumbuka Lissu alikufukuza Chadema na ukaapa wewe ni mbegu inayokwenda kupandwa na kuzaa lakini umeacha majanga ya uasi ndani ya Chadema.

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.
-Master's in Leadership and Management.

-Research; Assessing Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Huna kazi ndio maana una andika utopolo
 
Upuuzi mtupu ndo maana ulipata kuru sifuri toka kwa wajumbe jimbo la moro mjini
 
Leslie Mbena,

Andiko lako linakutia aibu. Natamani nijue chuo ulichosoma, nina uhakika kitakuwa miongoni mwa vyuo vinavyouza shahada. Nasubiri hapa!
Huyu bwana mdogo namfahamu fika tangu Makumira secondary Arusha mpaka St Peters Seminary Morogoro na uwezo wake wa reasoning pia naufahamu nyinyi msiomfahamu ndo mnashangaa topics zake zilizo out of context actually hapa ndo uwezo wake wa kureason ulipoishia.
 
Leslie Mbena,

Andiko lako linakutia aibu. Natamani nijue chuo ulichosoma, nina uhakika kitakuwa miongoni mwa vyuo vinavyouza shahada. Nasubiri hapa!
Chabusalu uko sahihi kabisa. Mimi kinachonipa shida ni hao watu kuendelea kurudia rudia kwamba chadema wanayafanya matukio makubwa ya kihalifu kama hayo halafu serikali eti imekaa kimya muda huo wote. Wanaoweza kukubali hoja kama hizi ni watu wa mikoa kama ya Dodoma, Ruvuma, Katavi na wilaya zake ambayo nimeona mahali kuwa ndio ngome ya ccm na duni kielimu, lakini siyo kuleta mjadala usio na tija yoyote hapa.

Hata huku kuweka contact ni kutaka tu wale unaodhani unawafurshisha kwa hizi hoja nyepesi wakutafute wakati wa teuzi maana fikra zenu za njaa njaa zinafanana.
 
Mkuu hiyo elimu yako huitendei haki [emoji137] have a good day
 
Maisha yana mafundisho mengi na ya kila namna na yanahusu vitu na mambo mbali mbali na kwa wakati tofauti.

Siku ya kuvua nguo unafanya hivyo tena kwa kutaka mwenyewe bila kulazimishwa kama ambavyo mama, shangazi na dada zetu wavyolazimisha kujivua nguo wabaki uchi wakati wakielekea chumba cha kuzalia bila aibu na ukiwachelewa ndio huzivua hadharani.

Muda sio mrefu na hasa baada ya uchaguzi mkuu 2020, kutakuwa na maanguko mazito kwa vyama vitakavyo shindwa uchaguzi,na vyama vingi vitapotea kutokana na dhiki zitakazo wafuata..
 
Hakuna hoja ni upuuzi mtupu
Lisu haeleweki hapo kabla alikuwa anapinga mikataba ya madini kwa madai haina tija kwa taifa, kama mnakumbuka wakati akiwa TLP yeye Lisu na Mrema walishtakiwa kwa uchochezi kutokana na kupinga uwekezaji wa Barick kule Bulyanhulu (kulikuwa na madai ya kuwa Barick na Accasia wamewahamisha watu zaidi ya 200 kwenye maeneo yenye madini bila fidia na waliogoma walifukiwa),hapo ndo Lisu alipata umaarufu,

lakini Jembe John Pombe Magufuli alivyoingia madarakani na kuanza kufanyia kazi marekebisho ya mikataba ya Madini Lisu na wahuni wenzie wamekuwa wakwanza kumponda,kumpinga na kumtisha Joh Pombe Magufuli kuwa nchi itashtakiwa,uzuri John Pombe Magufuli hatishiki,

Lissu na wahuni wenzie wakaendelesa propaganda,ooh John Pombe Magufuli anawatisha wawekezaji wa Madini! Sasa hapa ndipo tulipoanza kuona huyu mtu hatusafiri kwenye boti moja,kama Lisu angekuwa kweli anataka kuyaenzi yote ya nyuma aliyokuwa anayapigia kelele basi angejiunga na John Pombe Magufuli kupigania mikataba mipya yenye tija kwa Taifa lakini cha ajabu,Lissu akajiunga na acacia kuishtaki Serikali eti inawaonea wawekezaji hao!!!?

Binafsi lisu na genge lake siwaelewi wapo upande upi? Upande wa kupiga kelele ili apewe hela na wawekezaji uwasaliti Wananchi au upande wa Uzalendo kusimamia maslahi mapana ya Taifa la Tanzania na Wananchi wake,

Kwa ujumla Lisu hatufai hata jimboni kwake hamna alichofanya,hakuna hata Dispensary, kupata maji salama ni ndoto,barabara ndo dah lami hadi uende singida mjini,akiwa bungeni ni kama Mbowe, Lema,Kubenea,Msigwa,Mnyika huwezi wasikia wanazungumzia matatizo ya wananchi majimboni mwao,wao wapo kimaslahi zaidi kutetea maslahi ya mabeberu waliowatuma na yao(Siasa za hivyo hazina maana tena),

#Kaziiendelee
#JPM Mitano tena.
#JPM atosha.
 
Point [emoji106]
 
Endeleeni kutuma vijana wenu afu mje kuleta propaganda za kishamba, saizi mkituma hao vijana wenu tunawaua. Mnatia hasira nyie wajinga
Unao uwezo wakuua wewe utakufa wewe kwanza. Wafuate wapo Hai ili tuone kama kweli wewe ni muuaji!!
 
Eti na wewe ni msomi wa kiwango cha Masters!!

Sijui elimu ya Tanzania inaelekea wapi maana badala ya kuzalisha wasomi walio elimika inazalisha idadi kubwa ya wapumbavu na mangumbaru kila kukicha.

Uzi wote ni porojo na propaganda tu, lengo lako kuu ni kujipendekeza kwa watawala ili upate teuzi, Shame on you!

Lengo la kuambatisha kiwango chako cha elimu na namba yako ya simu katiko bandiko lako ni ipi?

View attachment 1538936
Huyu ni mjinga. Kwa kuweka hicho kiwango chake cha elimu, kwa fikra zake anaamini ameelimika sana!

He is a learned fool.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom