Vurugu za kidini: Serikali yaifungia Sekondari ya Magambani

Vurugu za kidini: Serikali yaifungia Sekondari ya Magambani

Yule aliekua akilala kwenye dayosisi mbalimbali wakati wa kampeni za 2010,hakupandikiza udini.
Wanaosema jk kapandikiza udini watuambie alipandikizaje huo udini.
 
Dah!!
Matunda ya udini ulio pandwa na akina JK kwenye uchaguzi mkuu wa 2010 yanazidi kukomaa.

usijifanye kiziwi, aliepanda udini ni slaa wakati wa kampeni 2010 hadi waumini kutengwa kule sumbawanga kisa wameipinga chadema
 
Pale moshi mjini ilikuwa kila kanisa lina hubiri siasa kwamba watu wamchague padre
 
Jamani eh, kwani hatuwezi kuzungumzia mambo mengine +ve? Siyo fresh kila kukicha kuzumgumzia masuala ya Wakristo/Waislaam as if kuna ushindani wa aina fulani vile, kati ya dini hizi mbili!!

Wengi wetu tume bahatika kumesoma shule za Sekondary za Serikali, tulikuwa mchanganyiko wa karibu dini zote, religious sect was not an issue per se, masuala ya dini yalikuwa yamepangiwa kipindi maalumu kwenye time table, tuna attend once per week kila mwanafunzi anakwenda kwenye sect yake basi.

Hivi Watanzania wenzangu tumeingiliwa nini??? Inakuwaje matukio ya kawaida ya shuleni yanajengewa hisia za KIDINI hata kama kuna malalamiko ya kweli yanayo hitaji ufumbuzi wa kawaida tu, unakuta yanakuzwa out of proportion kwa kujaribu kumtafuta MCHAWI!! i.e mtu wa kulahumu.

Mbona atuzungumzii wapagani!!! Kwani wao siyo RAIA wa nchi hii??
 
mleta mada mbona unatuchanganya, maana siku kadhaa zilizopita kunamtu alikuja na mada kama hii na akatuambia mgombea wa kiislaam alijitoa, leo unasema uchanguzi ulifanyika akashindwa sasa tuamini lipi kama sio chuki zenu za udini
 
Mkuu je hii ni shule nyingine tofauti na ile ya mwanafunzi wakiislam wanaotaka kumfukuza mwalimu mkuu wao, maana nayo iko bagamoyo?

ndo hyo hiyo kitaifa inajulikana kama bagamoyo sec ila kwa maeneo ya pale ilipo wanapenda kuiita magambani.(MAGAMBAN mean makaburi
 
This is the result of "better chance" given to churches by the late Mwalimu. No way out, this is our cup of coffee, we have to drink.
 
Mjomba nakumbuka hapo kitambo kidogo kila jina zuri ulikuwa unapewa wewe, hata muongo mmoja haujapita upepo umegeuka kila jina baya unarushiwa wewe, vipi kulikuwa na kanguvu nini hapo awali? na sasa kametoweka mjomba au ni mepungua tu?
 
Back
Top Bottom