Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah!!
Matunda ya udini ulio pandwa na akina JK kwenye uchaguzi mkuu wa 2010 yanazidi kukomaa.
Mkuu je hii ni shule nyingine tofauti na ile ya mwanafunzi wakiislam wanaotaka kumfukuza mwalimu mkuu wao, maana nayo iko bagamoyo?
huu ni mwanzo tu, mengi yanakuja.
Daima vizazi vyote vya tanzania vitamkumbuka kikwete kwa kupandikiza udini ndani ya nchi yetu.