Vurugu za kisiasa zinazoendelea Kenya zanufaisha utalii Tanzania

Hivi mshajenga lile soko la wachaga mlilolichoma?
 
Watu wote walioishi bongo, wanatamani kurudi, wewe mwenyewe unapapenda bongo.

Hehehe kuna Wakenya hupenda Bongo kwa sababu nyie hampo strict sana kikazi au kiutendaji, hivyo Mkenya akija anahisi kama yupo likizo vile, kumbe yupo kazini.
Wakiwa Kenya huwa balaa unafuatiliwa hatua kwa hatua, maana Wakenya wanaamini katika ufanisi.
 
Mitanzania bana roho mbaya mlibarikiwa nazo. Chinjeni hadi ng'ombe mle minofu mnywe, muimbe lakini mkumbuke baada ya mda tutarudi kwenye form yetu ya kawaida. Hapo sasa ndo mtashindwa kula na kunywa mtalia sana na kusaga meno.
 
umegonga ndipo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…