Sir robby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,396
- 4,080
Ni aibu kwa timu kubwa kama Wydad kufanya vurugu katika uwanja wa Mkapa huku wakiwa wageni. Natapa taabu sana kuamini mchezo wa marudiano huko Morocco jinsi utakavyotawaliwa na vurugu kubwa kwani kama Wydad wameweza kufanya vurugu wakiwa ugenini je, wakiwa kwao itakuwaje?
Ni vema uongozi wa Simba wakatoa taarifa CAF juu ya tukio hili ili CAF ikibidi mechi ya marudiano ifanywe uwanja mwingine kuepusha vurugu na mauaji.
Ni vema uongozi wa Simba wakatoa taarifa CAF juu ya tukio hili ili CAF ikibidi mechi ya marudiano ifanywe uwanja mwingine kuepusha vurugu na mauaji.