Vurugu za mashabiki wa Wydad uwanja wa Mkapa zilipotiwe CAF

Sir robby

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
2,396
Reaction score
4,080
Ni aibu kwa timu kubwa kama Wydad kufanya vurugu katika uwanja wa Mkapa huku wakiwa wageni. Natapa taabu sana kuamini mchezo wa marudiano huko Morocco jinsi utakavyotawaliwa na vurugu kubwa kwani kama Wydad wameweza kufanya vurugu wakiwa ugenini je, wakiwa kwao itakuwaje?

Ni vema uongozi wa Simba wakatoa taarifa CAF juu ya tukio hili ili CAF ikibidi mechi ya marudiano ifanywe uwanja mwingine kuepusha vurugu na mauaji.
 
Mpira unachezwa uwanjani, naona Wana Simba mnaogopa aggregate.
 
Simba walisha wahi kucheza na Wydad katika neutral ground na Simba alifumgwa 3-0. Kwaiyo ata Wydad wasipocheza na Mashabiki bado mechi itakua ngumu.
 
Ni Aibu kwa Timu kubwa kama WYDAD kufanya VURUGU katika UWANJA wa MKAPA huku wakiwa WAGENI.Natapa taabu sana kuamini MCHEZO wa MARUDIANO huko Morocco jinsi utakavyotawaliwa na VURUGU KUBWA kwani kama WYDAD wameweza kufanya VURUGU Wakiwa UGENINI je Wakiwa KWAO ITAKUWAJE?
Ni vema UONGOZI wa SIMBA wakatoa TAARIFA CAF Juu ya TUKIO hili ili CAF ikibidi MECHI ya MARUDIANO ifanywe Uwanja Mwingine kuepusha VURUGU na MAUAJI
Picha & video source vipo wapi wewe mbon unatuwekea kitu hakijakamilika ? Unasapoti vipi hii hadithi yako bila picha bila video na km ni uzushi kwa wasiofuatilia wataamini vipi ?
 
Ni Aibu kwa Timu kubwa kama WYDAD kufanya VURUGU katika UWANJA wa MKAPA huku wakiwa WAGENI.Natapa taabu sana kuamini MCHEZO wa MARUDIANO huko Morocco jinsi utakavyotawaliwa na VURUGU KUBWA kwani kama WYDAD wameweza kufanya VURUGU Wakiwa UGENINI je Wakiwa KWAO ITAKUWAJE?
Ni vema UONGOZI wa SIMBA wakatoa TAARIFA CAF Juu ya TUKIO hili ili CAF ikibidi MECHI ya MARUDIANO ifanywe Uwanja Mwingine kuepusha VURUGU na MAUAJI
download (4).jpeg

Mechi ya marudiano itakuwa hivi,hiyo ndio kawaida zao siku zote vita ni vita muraa
 
Ni Aibu kwa Timu kubwa kama WYDAD kufanya VURUGU katika UWANJA wa MKAPA huku wakiwa WAGENI.Natapa taabu sana kuamini MCHEZO wa MARUDIANO huko Morocco jinsi utakavyotawaliwa na VURUGU KUBWA kwani kama WYDAD wameweza kufanya VURUGU Wakiwa UGENINI je Wakiwa KWAO ITAKUWAJE?
Ni vema UONGOZI wa SIMBA wakatoa TAARIFA CAF Juu ya TUKIO hili ili CAF ikibidi MECHI ya MARUDIANO ifanywe Uwanja Mwingine kuepusha VURUGU na MAUAJI

Kule [emoji881] hana chake

Utabisha na stori za kijiweni lkn [emoji881] sio km Mamelod
 
Mpira unachezwa uwanjani,naona Wana Simba mnaogopa aggregate.
Acha ujinga uwanjani ni pamoja na mashabiki unadhani kwanini mchezo ulisimama? Unapojibu hoja shirikisha Akili.
 
Ni Aibu kwa Timu kubwa kama WYDAD kufanya VURUGU katika UWANJA wa MKAPA huku wakiwa WAGENI.Natapa taabu sana kuamini MCHEZO wa MARUDIANO huko Morocco jinsi utakavyotawaliwa na VURUGU KUBWA kwani kama WYDAD wameweza kufanya VURUGU Wakiwa UGENINI je Wakiwa KWAO ITAKUWAJE?
Ni vema UONGOZI wa SIMBA wakatoa TAARIFA CAF Juu ya TUKIO hili ili CAF ikibidi MECHI ya MARUDIANO ifanywe Uwanja Mwingine kuepusha VURUGU na MAUAJI
Kwani wamefanya kipi hasa Cha ajabu
 
Na linawezekana hili
 
Vurugu wapi ninyi washamba? Mlikuwa mnafindishwa mbinu za kushangilia ninyi washamba ambao tangu vuvuzela zimekuja mmeharibu njia za kushangilia. Ona wachache wametawala uwanja
 
Ni Aibu kwa Timu kubwa kama WYDAD kufanya VURUGU katika UWANJA wa MKAPA huku wakiwa WAGENI.Natapa taabu sana kuamini MCHEZO wa MARUDIANO huko Morocco jinsi utakavyotawaliwa na VURUGU KUBWA kwani kama WYDAD wameweza kufanya VURUGU Wakiwa UGENINI je Wakiwa KWAO ITAKUWAJE?
Ni vema UONGOZI wa SIMBA wakatoa TAARIFA CAF Juu ya TUKIO hili ili CAF ikibidi MECHI ya MARUDIANO ifanywe Uwanja Mwingine kuepusha VURUGU na MAUAJI
Acheni kuanza kutafuta visingizio. Mpira unachezwa uwanjani, na siyo kwenye majukwaa ya mashabiki.
 
Back
Top Bottom