Vurugu zaibuka msiba wa watoto matajiri wa Arusha, mwandishi wa Ayo TV anyang'anywa camera

Usela mavi wa Arusha huo. Vijana wa hovyo kabisa hapo ukute kula kulala tu kwa Baba. Ushoga ushoga tuuu
Wee na umasikini wenu huo wamewahi kuja kwenye misiba yenu na vikamera vyao? Kama hakuna pombe na misosi hawaji.
 
Dah kuna watu huwa hawapendi kuweka misiba yao public...waandishi ombeni ukubali wa ndugu wa marehemu kabla ya kufika kwenye makazi ya watu na makamera yenu

[emoji23][emoji23]tena wakifika wanamhoji mfiwa namba moja,mama au baba mzazi au mtoto wa marehemu.

mwandishi-ndugu flani unajiskiaje baada ya kuondokewa na nduguyo kipenzi.
 
Yani unalazimisha kuingia kwenye msiba wa watu kisa we ni mwandishi wa habari tena za udaku na hujaitwa unaanza kupiga mapicha na kutaka kuhoji watu hovyo hovyo tu.. mutha fwaka..
 
Waandishi wetu wajifunze sasa ufanyaji kazi usiokuwa na weledi.
 
Poleni wafiwa..sema hii ya waandishi kila sehemu tu upo hata misiba private kama hiyo napo changamoto...
 
Mwandishi umepata ulichostahili,hukufuata protocali wewe Huyo mpaka ndani ukome.......


RIP English figure and English feza
 
sio kila tajiri anataka msiba wake uwe youtube au kwenye media sasa huyo muandishi angeomba kwaanza ruhusa kufanya kazi yake akikubaliwa afanye akikataliwa basi aende na zake maana ipo misiba mingapi hawaendi au kisa mtt wa tajiri kafa bas wanataka wapige hela kupitia msiba wa watu nux sana media
 
WATOTO wawili wa Matajiri wakubwa katika jiji la Arusha,wanaodaiwa kuwa ni wachumba , Estomi Temu na mpenzi wake Nice Mawala(24)Mkazi wa Njiro walifariki dunia jana kwa ajali mbaya eneo la kwa Mrefu katika jiji la Arusha .

Huyo dogo ndiye ameinua hizo kilo 24 mbona anaonekana kama katoroka vipindi shule
 
Wewe sio yule aliyekutwa mtaroni umelala kifudifudi huku ukiwa unapapasa hiyo nyuma na kudai umepasuliwa kiini Cha yai ???????
 
Kuna movie ya the godfather lilijiri tukio kama hili la kuvunjiwa camera na kulipwa madon wanapenda sana privacy hawataki shobo kabisa

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…