Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Mambo yamezidi kuchangamka!
Ni mwendo wa kupigana ngumi tu, yani hadi sasa hile ni tukio la tatu au la nne la vurugu kutoka katika uchaguzi wa BAWACHA
==========
Wakati uchaguzi wa baraza la wanawake CHADEMA ukielekea ukingoni kutangazwa kwa matokea vurugu nje ya ukumbi huo zimeubuka baada ya mjumbe mmoja kudai kuna mazingira ya rushwa huku akidai ana ushahidi ndipo ugomvi huo ulipoibuka wakidai aoneahe ushahidi huo wa rushwa.
Soma Pia:

- Vurugu zazuka tena uchaguzi BAWACHA, Polisi waingilia kati na watu kadhaa wakamatwa
- Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (BAZECHA) na wanawake (BAWACHA) CHADEMA Taifa 2025