Pre GE2025 Vurugu zaibuka tena usiku huu Uchaguzi wa BAWACHA. Rushwa yatajwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kura chini ya 1000 zinahesabiwa siku 2 chadema ina-tatizo kubwa sana
Ukiona hivyo ujue Mbowe upande wake umeshindwa na ndiyo maana wanachukua muda mrefu.

Tarehe 21 wataumizana sana! Sidhani kama watu watakubali kiurahisi kura zichezewe.

Mbowe atasababisha vurugu kubwa kufanya michezo kama ya CCM. Anasababisha watu watatona damu huyu Mzee. Naiona vurugu kubwa hapa! Hata kama Mbowe akishinda sioni picha ya yeye kuweza kuunganisha Chama.
 
FAM ndiye mwenyekiti mvua inyeshe ,jua liwake!

Heche, Wenje,Lema mtakula pili pili kichaa mwaka huu?
 
Wataenda ziliko familia zao huko ng’ambo!! Lissu kaanza onesha uhuni kupitia Mahinyila
 
Ukiona hivyo ujue Mbowe upande wake umeshindwa na ndiyo maana wanachukua muda mrefu.

Tarehe 21 wataumizana sana! Sidhani kama watu watakubali kiurahisi kura zichezewe.

Mbowe atasababisha vurugu kubwa kufanya michezo kama ya CCM. Anasababisha watu watatona damu huyu Mzee. Naiona vurugu kubwa hapa! Hata kama Mbowe akishinda sioni picha ya yeye kuweza kuunganisha Chama.
Bi sharifa ana kura 164 dhidi ya mhuni wa Lissu bi Simba anq 116! Kura zinarudiwa.
 
Mgombea wa kwanza amepata kura 164

Mgombea wa pili kapata kura 116

Mgombea wa tatu amepata kura 100

Tafuta asilimia kwa kila mmoja atakuwa amepata asilimia ngapi?

Jawabu lilete kihesabu usilete maandishi.
 
Wapiga kura wa Kiwanga watarudi kwa Bi Sharifa.
 
Back
Top Bottom