Pre GE2025 Vurugu zaibuka tena usiku huu Uchaguzi wa BAWACHA. Rushwa yatajwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mambo yamezidi kuchangamka!

Ni mwendo wa kupigana ngumi tu, yani hadi sasa hile ni tukio la tatu au la nne la vurugu kutoka katika uchaguzi wa BAWACHA
==========

Wakati uchaguzi wa baraza la wanawake CHADEMA ukielekea ukingoni kutangazwa kwa matokea vurugu nje ya ukumbi huo zimeubuka baada ya mjumbe mmoja kudai kuna mazingira ya rushwa huku akidai ana ushahidi ndipo ugomvi huo ulipoibuka wakidai aoneahe ushahidi huo wa rushwa.

Soma Pia:

Mpaka sasa ni saaa 4 usiku zoezi la kuhesabu kura bado linaendelea.


Your browser is not able to display this video.
 
Team Lissu wamenusa wameshindwa.
 
Acha wanyukane tu!
 
Kura chini ya 1000 zinahesabiwa siku 2 chadema ina-tatizo kubwa sana
 
Wanagombea mgao wa pesa au ikoje? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hawa kwani uchaguzi wao umepigiwa kura na raia wote nchi hii? Sasa ni saa 48 hawajamaliza.
 
Wanatengeneza mazingira ya vurugu ili waseme uchaguzi wa Mwenyekiti utakuwa na uvunjifu wa amani wapate kuahirisha ili Mbowe aendelee hii ni mbinu wamepewa na CCM baada ya kubaini kuwa watashindwa vibaya sana.
Kwani ni chama chako si ni Mbowe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…