Pre GE2025 Vurugu zaibuka tena usiku huu Uchaguzi wa BAWACHA. Rushwa yatajwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Waidhibiti kabisa kambi ya Mwenyekiti Freeman Mbowe Ili wasipate mwanya wa kuingiza kura feki..

Ni wazi wanatoa pesa kwa watu Ili wapenyeze uchafu wao wa ki - CCM hapo..
 
Vurugu za CHADEMA zinatengenezwa na ccm kwa sababu zilizo wazi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…