Vurugu zaibuka Uganda baada ya Bobi Wine kukamatwa

Kuna watu wanafikiri hiki 'kimbunga' kitawapitia pembeni.

Waache wajisahau.:
Sanctions=uchumi kuwa mgumu/ vyuma kukaza mara elfu.

Njaa na mateso vikipita kipimo uasi unafanyika.
That's the end of story.
 
Haya maelezo ndiyo ya Uganda kutokota? Eleza ni kwa namna gani Uganda inatokota.
Mod umenikosea. Miye pia nilikuwa mhariri! Huwezi kurudia habari iliyokwishapita na kujuikana kwa upana. Inapidi ulete 'angle' ya kuendeleza story hiyo!
 
Waganda pamoja na upole wao wanataka kuwa huru. Museveni na chama chake kama tulivyosemaga pamoja na maendeleo wananchi watamchoka yeye na chama. Lakini kikubwa wamechoka kutokuwa huru na kuwa na chaguzi kama yetu ya kipolisi na usalama wa taifa bila wawakilishinkuchaguliwa kihalali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…