Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Kuna watu wanafikiri hiki 'kimbunga' kitawapitia pembeni.Najua kuna Forum ya East Africa ambayo inachakanua yanayojiri kwa jirani zetu. Ila hoja yangu ya kuileta hii hapa ni kutokana kufanana sana hali yao na hali ambayo tungeweza kupitia, au karibu tupitie. Pili Forum hizo mara nyingi ni za Kiingereza na baadhi ya wanao 'dare to talk openly' hawawezi kufanya hivyo huko.
Jamani, kweli Tanzania tumebarikiwa kwa kupewa hekima. Wengine watasema ni upumbavu wetu. Au ni ushupavu wa vyombo vyetu vya usalama na 'ubwege' wa vyao? Haya nawaachia nyie, kwani miye sina meno ya kutafunia mbuyu!
Waache wajisahau.:
Sanctions=uchumi kuwa mgumu/ vyuma kukaza mara elfu.
Njaa na mateso vikipita kipimo uasi unafanyika.
That's the end of story.