Kenya 2022 Vurugu zanukia Kenya, mawakala wa Odinga waishtumu tume kufanya uhalifu

Kenya 2022 General Election
Hiyo sio hoja kwenye kupiga kura kila chama kina wakala pili wakihesabu pamoja na kupiga picha matokeo tatu kura zinajumlishwa kijimbo na ile total ni rahisi kila chama kuhakiki baada ya hapo ndipo ile fomu na 34a na 34b inaletwa .makao makuu ya tume na tume inahakiki kama ile jumla iliyoletwa katika fomu na 34b inalingana na ile jumla iliyotoka kule shinani walikopiga kura yaani inztokana na fomu 34a. Sasa hata kama wakikosea kwa bahati mbaya kusahihisha inakuwa rahisi kwani kila wakala wa chama anajua jumla hivyo marekebisho yanafanyika hivyo mwanya wa fujo haupo kwani kila kitu kipo wazi. Pia aliyeshindwa anaweza kwenda mahakamani na ushahidi na mahakama ikatengua.

Raila ameishajua ameshindwa ndio maana jana waliitisha mkutano na makamu wake akautangazia umma kuwa Raila ndiye aneshinda na kuja na hoja nyepesi kuwa wameshinda viti vingi vya ubunge na ugavana wakati wanajua fika hata kwa ushahidi wa matokeo kuwa kuna majimbo yamechagua wawakilishi toka kambi tofauti kwa jimbo hilo hilo. Kama Rsila anajua kuwa ameshinda na kama hatatangazwa anaogopa nini kwenda mahakamani pale matokeo yatakapotangazwa?

Rjto ndiye Rais
 
ngoja wapigane uchumi wao ushuke
 
Ukienda kupiga kura unapewa karatasi za wagombea nafasi tofauti lazima idadi ya kura zilingane ila matokeo ndio yanaweza kuwa tofauti
 
Mwisho unasema Ruto ndiye rais wakati hata tume haijatangaza ,usipende kubuni vitu kwa ajili ya ushabiki mandazi weka kalio chini subiri matokeo.
 
Makosa gani? Anafuata katiba inavyo sema, hivi ubajua sabanu za Uchaguzi wa 2017 kutenguliwa na Mahakama ya rufaa? Ficha ujinga wako
 
Mwisho unasema Ruto ndiye rais wakati hata tume haijatangaza ,usipende kubuni vitu kwa ajili ya ushabiki mandazi weka kalio chini subiri matokeo.
Hahaaa usha ingoa kwenye Portal ya tume yao? Fomu zote ziko mule wanacho fanya sasa ni kuhakikisha hard copy basi, hakuna kingine, Ile sio NEC yenu inayo ongoza maiti za Kitanzania
 
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
kila lisemwalo na Mwanadamu laweza kuwa la ukweli au la uongo.
 
Lijaluo Raila liliingizwa cha kike na JK wa Kenya,Uhuru Kenyatta na safari hii halitakuwa na namna ya kuitisha maandamano maana linategemea ulinzi toka kwa walinzi wa Uhuru

Ruto kaingia Ikulu bila kurusha ngumi hata moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…