Kenya 2022 Vurugu zanukia Kenya, mawakala wa Odinga waishtumu tume kufanya uhalifu

Kenya 2022 Vurugu zanukia Kenya, mawakala wa Odinga waishtumu tume kufanya uhalifu

Kenya 2022 General Election
Huenda kambi ya Mzee Raila hawaamini wanachokishuhudia..?
MK254 Tony254 Maghayo
 
Kenya uchaguzi umefanyika vizuri na kwa uwazi, tume ipo vizuri, tatizo ni wanasiasa wenu wanaolazimisha matokeo yawe kama wanavyotaka

Kwa hali ilivyo pengine hata hiyo Jumanne zoezi litakuwa bado
 
Kenya uchaguzi umefanyika vizuri na kwa uwazi, tume ipo vizuri, tatizo ni wanasiasa wenu wanaolazimisha matokeo yawe kama wanavyotaka

Kwa hali ilivyo pengine hata hiyo Jumanne zoezi litakuwa bado

Tume imesimama wima hakuna kulazimisha, hata rais mwenyewe kwenye hili hana uwezo huo, hata waongee vipi mpaka tumpate tuliyempigia kura.
 
Mnaombea itokee vurugu mpate kwa kuanzia?Bado.Kenya wameizidi Tanzania mbali sana izungumzwapo demokrasia.Tuna la kujifunza.Hajauliwa wala kupotezwa mkinzani.Intaneti ipo vema.Na wala Chebukati hajafuta uchaguzi ingawa Raila amedai yeye ni mshindi.
NB:Hivi Jecha yupo nchi hii?

wewe ni mpumbavu bana.

yaani kwako uchaguzi akipotea mpinzani ndio unakuwa wa hovyo!!!

watu wanatahadhalisha mwenendo wa kusita sita kitangaza unaweza kuzua balaa wewe unakuja na hizi pumba zako za kusifia ujinga kisa umetokea kenya!!!

wakitangaza mapema kukawa na utulivu si ndio vyema sasa watakuwa wametuonyesha 1000% ya ustaarabu na kujitambua!!!!
 
Kama kuna kosa walilolifanya ni kuruhusu vyombo vya habari kujijumlishia wenyewe na kutoa taarifa live halafu tume ikiwa nyuma haijaanza. Hivyo kama watakuja na jibu tofauti na lile la watu walivyoaminishwa na vyombo vya habari kitanuka. Ilikuwa ni premature sana kwao kuanza kujisifu huku tume ikijumlisha kwa mwendo wa konokono. Hata kama wapo sahihi ila mwafrika huamini kuwa ukichelewa kutoa matokeo unachakachua na vurugu nyingi huanza baada ya matokeo kutangazwa na sii wakati wa kupiga kura
 
wewe ni mpumbavu bana.

yaani kwako uchaguzi akipotea mpinzani ndio unakuwa wa hovyo!!!

watu wanatahadhalisha mwenendo wa kusita sita kitangaza unaweza kuzua balaa wewe unakuja na hizi pumba zako za kusifia ujinga kisa umetokea kenya!!!

wakitangaza mapema kukawa na utulivu si ndio vyema sasa watakuwa wametuonyesha 1000% ya ustaarabu na kujitambua!!!!
Usiwe mwepesi wa kuandika neno "mpumbavu" kama haujui hata maana yake.Umewauliza kwa nini wanachelewa kutangaza matokeo ya Urais?Uliza upewe jibu.Au unataka watangaze harakaharaka kama Tanzania halafu hakuna wa kuhoji mahakamani?Kule ni tofauti.Unapotolewa mfano wa mpinzani kupotezwa na weye nenda mbele zaidi ukikumbuka uhuni woootee ambao hufanywa na CCM wakishirikiana na tume pamoja na vyombo vya dola.Usiifanye akili yako nyembamba kama tishu ya chooni.Jiongeze.Umesikia Kenya kuna wagombea wameshindwa kujaza fomu za ugombea?Umesikia mgombea kaviziwa na kuporwa fomu wakati wa kurudisha?Umesikia mawakala wa vyama kukataliwa viapo au kukataliwa kuingia chaguzini kusimamia wagombea?Umesikia watu wa usalama kuwalazimisha makarani wa vituo kupunguza kura za wakinzani au kuleta kura feki ziingizwe kwenye makasha ya kura halali?Umesikia askari au wagombea kukimbia na kura?Jiongeze weye kibakuli!
 
Mzee Odinga sijui kanusa kushindwa sijui
Mawakala wake wamekuwa wakilalamikiwa na Tume kuzua vurugu kila mara kwenye ukumbi wa kuhesabia kura Bomas

Wakala Mkuu wa odinga anasema Bomas imekuwa chumba cha uhalifu akimaanisha haamini mchakato wa uhakiki
View attachment 2323329
Wamechukua mda mrefu mno kuhesabia Kura . Ilbibidi wawe wamemtangaza mshindi siku nyingi Ila wao walikuepo Wana chelewesha mno
 
Tume imesimama wima hakuna kulazimisha, hata rais mwenyewe kwenye hili hana uwezo huo, hata waongee vipi mpaka tumpate tuliyempigia kura.
Tume yenyewe inalalamika kukabwa na wanasiasa ambao wanafanya zoezi la kuhakiki kura kuwa gumu
 
Usiwe mwepesi wa kuandika neno "mpumbavu" kama haujui hata maana yake
hii ni sifa ya mtu,kama anayo anapewa.wewe unayo.
.Umewauliza kwa nini wanachelewa kutangaza matokeo ya Urais?
hii ndio point ya mleta mada,matokeo ya uchaguzi sio oda ya pombe kali unayoagiza kwamba ikichelewa hakuna shida,sijui hata unajua vihatarishi vya kiusalama wewe,au umesshashiba hapo unasinzia tu.
Uliza upewe jibu.Au unataka watangaze harakaharaka kama Tanzania halafu hakuna wa kuhoji mahakamani?
swala la kuhoji au kutohoji liangaliwe kuliko usalama na amani ya nchi!!!!hivi una akili timamu wewe??
Kule ni tofauti.Unapotolewa mfano wa mpinzani kupotezwa na weye nenda mbele zaidi ukikumbuka uhuni woootee ambao hufanywa na CCM wakishirikiana na tume pamoja na vyombo vya dola.Usiifanye akili yako nyembamba kama tishu ya chooni.Jiongeze.Umesikia Kenya kuna wagombea wameshindwa kujaza fomu za ugombea?
wamejaza wote na kila mtu kafanya lililo haki yake,kwanini machafuko kizembe mwishoni!!!au akili zako fupi hazioni hatari hiyo???kuku kabisa wewe.
Umesikia mgombea kaviziwa na kuporwa fomu wakati wa kurudisha?Umesikia mawakala wa vyama kukataliwa viapo au kukataliwa kuingia chaguzini kusimamia wagombea?Umesikia watu wa usalama kuwalazimisha makarani wa vituo kupunguza kura za wakinzani au kuleta kura feki ziingizwe kwenye makasha ya kura halali?Umesikia askari au wagombea kukimbia na kura?Jiongeze weye kibakuli!
ndio maana nikasema wewe ni birika bovu,sasa ubora wa kenya kwenye uchaguzi hatua hizo za awali unahalalisha ucheleweshaji wa matokeo????
 
Kwa iyo hapo nani atampiga mwenzake.
Namwona uhuru akiendelea kushikilia kiti huku watu wakipelekana mahakamani
 
Kila kitu kipo wazi mkuu, matokeo yote yapo online na yoyote anaweza ku download na kujumlisha
Raila anajua matokeo halisi yapoje ndio maana analeta uchochezi
Kilichopo online ndo huwa sahihi kuliko vya kwenye makaratasi? Mi naona yote ni km ni tz tu, wanaoweka online ni tume na wanaoweka kwenye makaratasi ni tume pia. Kama wakiamua kudanganya bado inawezekana.
 
Kilichopo online ndo huwa sahihi kuliko vya kwenye makaratasi? Mi naona yote ni km ni tz tu, wanaoweka online ni tume na wanaoweka kwenye makaratasi ni tume pia. Kama wakiamua kudanganya bado inawezekana.
Yanaoyowekwa kwenye mtandao ni copy za matokeo ya kwenye vituo, ambayo tayari mawakala wa pande zote wamesaini na kukubali hizi zinaitwa fomu 34A

Kisha kopy original za kwenye vituo (yaani original 34A) zitapelekwa kwenye majimbo na kujumlishwa na kupata matokeo ya jumla ya jimbo, fomu za matokeo ya majimbo zinaitwa fomu 34B

Total ya kura kwenye fomu 34B ni lazima iwe sawa na total ya kura kwenye fomu za 34A ama itakuwa ni makosa

Mpaka sasa wameshaoanisha fomu zote za 34A na 34B kwa zaidi ya 50% na zote zimeoneka hazina shida
 
Back
Top Bottom