Kenya 2022 Vurugu zanukia Kenya, mawakala wa Odinga waishtumu tume kufanya uhalifu

Kenya 2022 Vurugu zanukia Kenya, mawakala wa Odinga waishtumu tume kufanya uhalifu

Kenya 2022 General Election
hii ni sifa ya mtu,kama anayo anapewa.wewe unayo.

hii ndio point ya mleta mada,matokeo ya uchaguzi sio oda ya pombe kali unayoagiza kwamba ikichelewa hakuna shida,sijui hata unajua vihatarishi vya kiusalama wewe,au umesshashiba hapo unasinzia tu.

swala la kuhoji au kutohoji liangaliwe kuliko usalama na amani ya nchi!!!!hivi una akili timamu wewe??

wamejaza wote na kila mtu kafanya lililo haki yake,kwanini machafuko kizembe mwishoni!!!au akili zako fupi hazioni hatari hiyo???kuku kabisa wewe.

ndio maana nikasema wewe ni birika bovu,sasa ubora wa kenya kwenye uchaguzi hatua hizo za awali unahalalisha ucheleweshaji wa matokeo????
Weye ni sampuli pure ya Mtanzania aliyelishwa miujinga na moyo wa kujitengenezea hofu ambayo haipo kabisa.Sasa,mambo yanafanyika Kenya halafu weye unayeishi Malampaka hiyo hofu unaitoa wapiWenyewe Wakenya wameleta fujo?Badilika.Vijineno vingivingi vya uswahiliuswahili tu na kujitungia vitu.Tuliza kiuno wanaume wapo kwenye chaguzi za akili.Jecha bin Mahera kabisa weye!Akili fupi kama ushuzi wa ngomani.Eti unajiita MICHAEL JACKSON?Michael wa makalio mpauko?
 
Huyu Mzee Chebukati naye ni shida tupu.

Miaka zaidi ya tano yote yeye na tume yake hawakuweza kujipanga kuondoa makosa ya hovyo hovyo katika muundo wa uchaguzi?

Matatizo yanaweza kuanzia kwa hawa wajumbe wa tume ya uchaguzi.
Wakati huu ilitakiwa kila kitu kiwe kimekamilika, wao wanajivutavuta na kutia wasiwasi katika uchaguzi mzima.
Uchaguzi wa Kenya unashida Sana.
Na nahisi huyo Wafula Chebukati ndo mtu sahihi zaidi kwani sijawai sikia akipigiwa chapuo la kujiuzuru na vyama vuote kama ilivyohapa kwetu kwa NEC
 
Weye ni sampuli pure ya Mtanzania
yah mimi ni mtz,kwetu amani na utulivu kwanza mengine baadae,hatupendi kuona watu wanauana kisa mwenzao mmoja anakwenda kula mema ya nchi yao akiitwa rais.
aliyelishwa miujinga na moyo wa kujitengenezea hofu ambayo haipo kabisa.
taahira na mwendawazimu hana anachohofia maishani hapa.hata aambiwe usikalie tawi kavu unaweza anguka anaanza kucheka cheka tu.
Sasa,mambo yanafanyika Kenya halafu weye unayeishi Malampaka hiyo hofu unaitoa wapi
toka mwanzo nakwambia wewe ni mpumbavu unawaka,unaijua hasara ya machafuko kenya???kajifunze vita ya ukrain maelfu ya kms kutokea hapa na kupanda kwa mafuta,na ufikiri kuhusu mamia ya km chache tu hapo kenya.
Wenyewe Wakenya wameleta fujo?
kwahiyo mpaka walete hizo fujo!!!ujinga wako ni premium.
Badilika.Vijineno vingivingi vya uswahiliuswahili tu na kujitungia vitu.Tuliza kiuno wanaume wapo kwenye chaguzi za akili
chaguzi za akili africa!!!!wewe panzi kweli embu kale naona njaaa iko kichwani.
.Jecha bin Mahera kabisa weye!Akili fupi kama ushuzi wa ngomani.Eti unajiita MICHAEL JACKSON?Michael wa makalio mpauko?
kasome tena ID hiyo linganisha na ulichoandika,utajua ubongo wako ndio umepauka kama hilo tako.
 
Makosa gani? Anafuata katiba inavyo sema, hivi ubajua sabanu za Uchaguzi wa 2017 kutenguliwa na Mahakama ya rufaa? Ficha ujinga wako
Ndiyo, ninafahamu sababu za kutenguliwa 2017. Sasa wewe unaona baadhi ya makosa hayo haya sasa hayajirudii, au hujui?
 
Tulishawaambia kina ras jeff kapita na Nyamizi Raila hatashinda huu uchaguz na hatawahi kuwa Rais Kenya. Asilimia 80 ya majumuisho ya kura Tayari. Rais Ruto anaongoza na 52% Raila 46%.
Hutoamini macho yako pale RAO atatangazwa kuwa mshindi,ni swala la muda tu kutoka sasa.Angalia kina David Ndii na mwenzake Denis Itumbi wa Kenya Kwanza wanavyolalamika sasa hivi kuwa 'Deep State' inacheza na matokeo.Watu hawa hawa siku ya pili tu baada ya uchaguzi walikuwa wanatamba kule twitter kuwa wameshinda.Sasa hivi wamebaki na vilio vikuu,wanajua kinachokwenda kutokea.
 
Uchaguzi wa Kenya unashida Sana.
Na nahisi huyo Wafula Chebukati ndo mtu sahihi zaidi kwani sijawai sikia akipigiwa chapuo la kujiuzuru na vyama vuote kama ilivyohapa kwetu kwa NEC
Chebukati 2017 alizingua sana hadi ikabidi mahakama kutengua uchaguzi. Naona hukumbuki!

Safari hii, isingekuwa haya makosa madogo madogo, na ucheleweshaji usiostahili angejizolea sifa nyingi sana bila kujali nani kashinda.
Sasa huu ucheleweshaji, na funikafunika hii inaharibu jambo ambalo lingekuwa zuri sana.
 
Walishatoka huko.Tujiangalie leo hii kama Tanzania inastahili kusimama kwenye mstari mmoja na wastaarabu wa dunia.
Hapana.

Siwezi kuitumia Tanzania kama mfano wa chochote wakati huu, lakini kusema Kenya walishatoka huko, hilo nalo ni kuzidisha chumvi.

Ndiyo, mifumo yao imetengenezwa vizuri; lakini bado haitekelezwi ipasavyo. Kimfumo, wapo vizuri, kiutekelezaji na utayari wa wananchi kuondokana na ukabila, bado sana.
 
Unajua maana ya importer? Ni mnunuzi
Sisi wafanyabishara tunajua umuhimu wa kenya kuwa na amani
Ndio najua mana yake lakini hapa wewe ndio hujui wala matumizi yake kwenye sentensi huyafahamu hayo kwamba wewe unafanya biashara ni yakwako mwenyewe.

Soma sentensi yako uone ujinga ulioandika.
 
Bado vijimakosa hivyo huwezi kufananisha na uhuni wa dhahiri ufanyikao Tanzania.Bado.
Mkuu, sijui nisemeje. Ni wazi utaratibu wao wa uchaguzi hauwezi kulinganishwa na huu wa kwetu; na kwa kweli sidhani kwamba kuna mtu yeyote mwenye akili timamu anaweza kusifu hii hali yetu hapa na kuitolea kama mfano.

Ninachokataa mimi, pamoja na kuwa na mfumo mzuri wa uchaguzi, matatizo ya Kenya bado ni makubwa sana, hasa kutokana na wananchi kuamini zaidi ukabila badala ya utaifa. Hili ni tatizo lisiloweza kutatuliwa na kuwa na mfumo mzuri wa uchaguzi.
 
Wakati wa uchaguzi huwa kuna 'temper' ya hali ya juu mno hasa ushindani unapokuwa mkali, mara nyingi lawama hutupiwa maafisa wa tume tu ila pia wagombea na mawakala wao huweza kuwa moja ya sababu za mivutano.
Mkuu 'Proved', hili ni tatizo dogo sana lisiloweza kuiyumbisha tume huru ya uchaguzi iliyojiandaa barabara na kufanya mambo yake kwa weledi na kwa wakati.
Tatizo hutokana na tume yenyewe kuanza kutiliwa mashaka kwenhye utendaji na uwasilishaji.

Panapojitokeza makosa ya kizembe mahali popote, hilo linakuwa chanzo cha lawama, hata kama makosa hayazuiliki.
 
Mkuu, sijui nisemeje. Ni wazi utaratibu wao wa uchaguzi hauwezi kulinganishwa na huu wa kwetu; na kwa kweli sidhani kwamba kuna mtu yeyote mwenye akili timamu anaweza kusifu hii hali yetu hapa na kuitolea kama mfano.

Ninachokataa mimi, pamoja na kuwa na mfumo mzuri wa uchaguzi, matatizo ya Kenya bado ni makubwa sana, hasa kutokana na wananchi kuamini zaidi ukabila badala ya utaifa. Hili ni tatizo lisiloweza kutatuliwa na kuwa na mfumo mzuri wa uchaguzi.
Hilo la ukabila ni ninyi mlio nje ya Kenya ndiyo mnapenda kulikuza mnoo.Ukabila upo Kenya lakini si kama miaka ya 80's na 90's.Wanazidi kukua kama nchi.Tanzania CCM wanalazimisha kwa wananchi vyama kama CHADEMA au ACT vionekane vya kikanda au kabila wakati si kweli.Sasa hiyo mentality ya ukabila mnataka muilazimishe kwamba ipo Kenya kwa kiwango fulani wakati si kweli.
 
Dah,
Hapa sasa umekengeuka kwelikweli, hata kama hujui hali ilivyo Kenya.

Hata kama wewe upo huko huko Kenya, inaonekana umefumba macho kabisa bila kuona tatizo.

Hata ndani ya uchaguzi huu tu, huwezi kuona ukabila ndio unaotawala? Wewe unaangalia kitu gani hadi useme "ni sisi ndio tunaolikuza tatizo la ukabila"?
 
Huyu Mzee Chebukati naye ni shida tupu.

Miaka zaidi ya tano yote yeye na tume yake hawakuweza kujipanga kuondoa makosa ya hovyo hovyo katika muundo wa uchaguzi?

Matatizo yanaweza kuanzia kwa hawa wajumbe wa tume ya uchaguzi.
Wakati huu ilitakiwa kila kitu kiwe kimekamilika, wao wanajivutavuta na kutia wasiwasi katika uchaguzi mzima.
Nakubaliana na wewe kabisa. Tatizo ni tume. Kwa sababunwalikuwabwatangaze matokeo kwa kutumia zile karatasi zilizowekwa kwenye mtandao wa tume. Sasa kama kuna mtu angelalamika ndio angeenda mahakamani ili ukaguzi wa karatasi halisi ufanyike. Wamejibebesha mzigo mzito bila sababu. Na kuifanya matokeo yaliyowekwa kwenye tovuti yako kutokuwa na maana.
 
Hilo la ukabila ni ninyi mlio nje ya Kenya ndiyo mnapenda kulikuza mnoo.Ukabila upo Kenya lakini si kama miaka ya 80's na 90's.Wanazidi kukua kama nchi.Tanzania CCM wanalazimisha kwa wananchi vyama kama CHADEMA au ACT vionekane vya kikanda au kabila wakati si kweli.Sasa hiyo mentality ya ukabila mnataka muilazimishe kwamba ipo Kenya kwa kiwango fulani wakati si kweli.
Hujui unachokiandika bora ukae kimya ufiche ujinga wako.
 
Hilo la ukabila ni ninyi mlio nje ya Kenya ndiyo mnapenda kulikuza mnoo.Ukabila upo Kenya lakini si kama miaka ya 80's na 90's.Wanazidi kukua kama nchi.Tanzania CCM wanalazimisha kwa wananchi vyama kama CHADEMA au ACT vionekane vya kikanda au kabila wakati si kweli.Sasa hiyo mentality ya ukabila mnataka muilazimishe kwamba ipo Kenya kwa kiwango fulani wakati si kweli.
Sidhani kwamba hili andiko ulilitafakari vyema kabla ya kuliwasilisha hapa.

Kama nilivyoeleza mwanzo, situmii mfano wa CCM na Tanzania inayokandamizwa na CCM kama mfano wa kulinganisha na nchi nyingine yoyote. Hata hivyo, ukitetea kutokuwepo kwa hali mbovu kabisa ya ukabila nchini Kenya, wewe utakuwa umeziba macho na masikio kwa sababu uzijuazo mwenyewe.. Hili ni tatizo kubwa, na wala hakuna ahueni yoyote unayosema imeonekana kwa hivi karibuni.
 
Dah,
Hapa sasa umekengeuka kwelikweli, hata kama hujui hali ilivyo Kenya.

Hata kama wewe upo huko huko Kenya, inaonekana umefumba macho kabisa bila kuona tatizo.

Hata ndani ya uchaguzi huu tu, huwezi kuona ukabila ndio unaotawala? Wewe unaangalia kitu gani hadi useme "ni sisi ndio tunaolikuza tatizo la ukabila"?
Mnatamkatamka kila wakati hadi asiyejua anaona ni shida hasa.Kwa Raila na kwa Martha Karua kura nyingi kachukua Samoei Ruto.Huo ukabila mnaoung'ang'aniza unatoka wapi kwa mfano huo mdogo tu?
 
Nakubaliana na wewe kabisa. Tatizo ni tume. Kwa sababunwalikuwabwatangaze matokeo kwa kutumia zile karatasi zilizowekwa kwenye mtandao wa tume. Sasa kama kuna mtu angelalamika ndio angeenda mahakamani ili ukaguzi wa karatasi halisi ufanyike. Wamejibebesha mzigo mzito bila sababu. Na kuifanya matokeo yaliyowekwa kwenye tovuti yako kutokuwa na maana.
Akili mgando ndio hizi, tume ina siku 7 kutangaza matokeo na wapo ndani ya wakati.

Kuhesabu kura manual ndio utaratibu sahihi na hakuna computer hackers wanaweza kuuingilia.
 
Dah,
Hapa sasa umekengeuka kwelikweli, hata kama hujui hali ilivyo Kenya.

Hata kama wewe upo huko huko Kenya, inaonekana umefumba macho kabisa bila kuona tatizo.

Hata ndani ya uchaguzi huu tu, huwezi kuona ukabila ndio unaotawala? Wewe unaangalia kitu gani hadi useme "ni sisi ndio tunaolikuza tatizo la ukabila"?
Ukabila upo Kenya.Si kwamba haupo.Ila si kama mnavyoukuza.Mnavyoueleza kana kwamba akifika mgeni leo basi atachinjwa au ataishi kipweke sana.Siyo hivyo!
 
Back
Top Bottom