Kenya 2022 Vurugu zanukia Kenya, mawakala wa Odinga waishtumu tume kufanya uhalifu

Kenya 2022 Vurugu zanukia Kenya, mawakala wa Odinga waishtumu tume kufanya uhalifu

Kenya 2022 General Election
Duru ya pili ikawaje si Uhuru akashinda. Nadhani inshu haikuwa matokeo ila ilikuwa formality. Koz Uhuru alishinda tena
Duru ya pili ilishaharibika. Raila alipogomea uchaguzi. Hatuwezi kujuwa ingekuwaje kama angeshiriki katika hali ya usawa.
 
Kwa vyovyote vile Wakenya lazima wapate rais mpya.
MK254
 
Ni suala la muda tu Kenya lazima kipigwe...utasikia Mtu anahojiwa anasema "Watangaze matokeo watu waendelee na shughuli zao".

Hao tume ya uchaguzi wenyewe wanajiandaa kisaikolojia kwanza maana wakitangaza matokeo ya uraisi ndio wamepiga filimbi "anzeni".

Hakuna wa kukubali mwenzake ashinde, sio Ruto wala Baba...tuwaombee sana jirani zetu hawa.
Kumwaga damu ni mental illness
Sioni sababu ya kufanya hivyo
Mnakaa nyumba moja mnaumizana
Huu ni ugonjwa lazima utibiwe
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Ruto akiingia Ikulu lazima atarifiwe kuwa pana mtu JF alijitoa muhanga kwa ajili yako Mzee.
Ruto anaongoza asee dah hafii mtu hapa.
mrangi Magonjwa Mtambuka Ncha Kali Glenn MUSIGAJI
Screenshot_20220815-073551.jpg
 
Kuna mahali jana nimesoma amesema wameshahesabu kura zao na wanasubiri kuapishwa.

Nikasema hapa lazima kinuke. Huyu mwanamke nuksi sana.
Odinga alifanya hesabu yake vibaya... na ile endorsement yake na Kenyatta was a kiss of death.
 
Hujui chochote ndugu yangu.
Eneo analotokea Raila (kwa wajaluo, hasa Kisumu) ameshinda kwa zaidi ya 90%.
Eneo analotokea Ruto (kwa wakalenjini) naye ameshinda kwa zaidi ya 90%.
Wagombea wenza wote wawili wa urais walikuwa ni wakikuyu.

Martha Karua ni Mkikuyu, eneo analotokea yeye muungano wa Azimio (Raila) umeshindwa vibaya (amepata kama 20%), hii ikimaanisha kuwa wakikuyu kwa zaidi ya 80% hawako tayari kumuunga mkono mgombea urais Mjaluo regardless Uhuru na Martha Karua wanamuunga mkono.
Ukabila sio kitu poa
 
Yapo mengi sana. Tumia akili yako nawe uweze kujuwa kuwa kuna makosa yaliyofanyika kwenye uchaguzi huu. Usiwe tegemezi kwa kila jambo.
Umesema yapo mengi sana... nimekuuliza swali simple tu, kama yapi?
Unaishia kutoa povu, nani hatumii akili kati yangu na wewe?
 
Nilikuwa namhofia Ruto kuwa aweza kuleta vurugu lkn jamaa ametulia sana tu
Zee la vurugu ni Odinga na watu wake, wamezua vurugu Bomas na kuiita eti ni kituo cha uhalifu
Hata wafuasi wa Odinga ndio wanaoongoza kwa kuilaumu tume
 
Back
Top Bottom