Uchaguzi 2020 Vurugu zilizoanza kuibuka Uchaguzi Mkuu: Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania atema cheche

yaani serekali ya marekani unaiomba ku tu protect sisi haki zetu za kikatba? Tatizo ni lugha uliotumia au ni hii mihemko ya ki vyama?
 
Hana lolote huyo, marekani wenyewe rais wao trump ameshaanza kuleta stori za kuwa uchaguzi wao hautakua halali. Tunaona kila leo vikundi vya kila aina vinaibuka mtaani tena jamaa wamebeba silaha za moto. Huyu balozi hatubabaishi ni mtu mdogo sana.
 
Lisu siku moja shamba siku moja gereji.....sasa ndio anakaa kabisa juu ya mawe!
Yohana keshapiga mapumziko kama siku 10 already na mikutano 3 kwa siku hakuna tena.

Anyway, subiri part 2 ndiyo mtaanza kutafutana. .... Part 1 tayari ishawaamsha Msajili, NEC na police. Msajili mpaka anapanda bodaboda kuwahisha barua ....!!
 
Hahaha Trump mwenyewe amegoma kutambua matokeo, aende huko kwanza.

Low IQ!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…