Mtuflani Official
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,952
- 4,416
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu peleke google translate maana hapa babu wa Lumumba hataelewa atajua amesifiwa kwa kununua ndege 11 na flyover
vili leo mbeya mtawapigia tena magoti wanafunzi kuwaomba kura?Lisu ndio ameshakaa .....hakuna kampeni tena hapo!
Vipi Magufuli asiyefuata kampeni Ratiba za kampeni ?Mkuu mnakwama wapi? Balozi hajaongelea serikali kaongelea vyama vya siasa kavitaka vizingatia kanuni za uchaguzi,kaviasa vyama hasa CHADEMA kuacha vurugu wanazokuwa wanazifanya kwa kuzingatia mauaji ya kada wa CCM
Wewe uliesema Airforce one ya POTUS ndo ndege kubwa kuliko zote duniani ndo unajiona una IQ kubwa hahahahahahahaha!Hahaha Trump mwenyewe amegoma kutambua matokeo, aende huko kwanza.
Low IQ!
Hapo sio vyama "parties" ana maana 'wahusika wote'"Nina wasiwasi na ripoti ninazosikia juu ya vurugu za kisiasa na kuongezeka kwa jumla kwa mivutano tunapokaribia uchaguzi wa Tanzania. Ninahimiza vyama vyote kujitolea kwa uchaguzi huru, wa haki, na wa amani. Kama usemi unavyosema: Amani ni tunda la haki."
Ambassador Donald J. Wright
Mkuu peleke google translate maana hapa babu wa Lumumba hataelewa atajua amesifiwa kwa kununua ndege 11 na flyover
Lugha ya kidplomasia inatupa tabu. Umetoa fundisho zuri. KongoleHapo sio vyama "parties" ana maana 'wahusika wote'
Kasema magufuli ni shujaa wa Afrika"Nina wasiwasi na ripoti ninazosikia juu ya vurugu za kisiasa na kuongezeka kwa jumla kwa mivutano tunapokaribia uchaguzi wa Tanzania. Ninahimiza vyama vyote kujitolea kwa uchaguzi huru, wa haki, na wa amani. Kama usemi unavyosema: Amani ni tunda la haki."
Ambassador Donald J. Wright
Waseme kama naye ni Beberu?Amani ni tunda la haki
Kwani kule kwao wanaua watu kwa magoti sisi tuliuliza?
Hukumu ya mahakama tayari? Utopolo mwingine toka buku saba LumumbaMkuu mnakwama wapi? Balozi hajaongelea serikali kaongelea vyama vya siasa kavitaka vizingatia kanuni za uchaguzi,kaviasa vyama hasa CHADEMA kuacha vurugu wanazokuwa wanazifanya kwa kuzingatia mauaji ya kada wa CCM
huu ni unafiq wa kiwango kikubwaMungu wabariki Wazungu
Yale mavyuma aliyofungwa mwilini yameanza kupata kutu, jasho litamtoka.Lisu siku moja shamba siku moja gereji.....sasa ndio anakaa kabisa juu ya mawe!