Uchaguzi 2020 Vurugu zilizoanza kuibuka Uchaguzi Mkuu: Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania atema cheche

Hawa jamaa kama sehemu hawana maslahi ndo wanajifanyaga kutafuta haki ila sehem kama na wao wanakula watazuga tu na porojo za hapa na pale
Wanatengeneza mazingira ya sisi tuanze kupigana wamuweke mtu wao kisha waanze kuvuna mali
Tanzania Mungu anakupenda sana, mipango yao haitafanikiwa
 
Wanatengeneza mazingira ya sisi tuanze kupigana wamuweke mtu wao kisha waanze kuvuna mali
Tanzania Mungu anakupenda sana, mipango yao haitafanikiwa
Wanajua hilo haliwezekani......hayo maneno nae anapitisha siku tu, kwa ukanda huu kwao bado pagumu
 
Mkuu peleka google translate maana hapa babu wa Lumumba hataelewa atajua amesifiwa kwa kununua ndege 11 na flyover
By the way, Google is the worst translator.
 
Sijui kwa nini wana CCM huwa hawapendi kusikia hili neno HAKI ..... Hakuna kiongozi yeyete wa CCM aliyewahikulitaja hili neno HAKI hadharani. Wananchi lazima tujiulize. Why?
Ni rahis mbona...ukiona mtu hataji. Taja wew😂
 
Hopeless comment ever! Rubbish.
 
Kwani na huyu balozi ni mpiga kura wetu?? Mbona hata sisi tuna wasiwasi na uchaguzi wao wa marekani na hatuwashwiwashi kuwasemea?? anataka nini huyu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…