Vuta picha, hiki kimbunga kingepiga mji wowote hapa Tanzania!

enzo1988

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2018
Posts
1,838
Reaction score
7,346
Huko Marekani hasa katika mji wa Florida kunatarajiwa kupigwa na kimbunga kikubwa kuwahi kutokea kwa karne nzima! Watu wote wameambiwa wahame makazi yao kwani aidha usalimike au ufe!

Ukiona mpaka Rais anatoa tahadhari kwa raia wake kwa mamilioni kuhama mji, tafsiri yake kwamba kimbunga kitaleta madhara makubwa mno! Vuta picha kama kingetokea kwetu!

Millions in Florida told to leave as Biden makes Hurricane Milton 'life or death' warning​

Hurricane Milton latest: Devastating hurricane bearing down on US to swallow 'coffin' homes - as millions ordered to flee​

Floridians flee looming catastrophe as Hurricane Milton approaches​

Wenzetu Wana Serikali inayowajibika kwa Wananchi, sisi hatuna kitu cha namna hiyo.
 
Matokeo ya kugomea mpango mkakati wa climate change.

Wacha waisome
 
Mungu mkubwa,waliteseka wapalestina kwa kuhamishwa kwenye makazi yao,ili mji upigwe mabomu,Israel kwa kusaidiwa na Marekani,leo kibao kimegeuka,ni waamerika wanahama,kukimbia kimbunga cha Mungu,,Binadamu tuoneane huruma,ukimuona mwenzako,ana tatizo msaidie,usimcheke.
 
Wenzetu Wana Serikali inayowajibika kwa Wananchi, sisi hatuna kitu cha namna hiyo.
Hakuna siku Serikali imeacha kutoa tahadhari ya jambo lolote ila kinachotutofautisha na hao ni kwamba hao ni wasikivu na waelewa ila sisi ni matomaso na makaidi. mfano mdogo ni pale jangwani watu miaka nenda rudi wanakaidi tahadhari mpaka madhara yanapotokea.
 
Matokeo ya kugomea mpango mkakati wa climate change.

Wacha waisome
Ni matokeo ya kuwasaidia Israel,kuwapiga wapalestina,na kuwaambia wahame kwenye makazi yao,ili makazi yao yapigwe na mabomu,Mungu naye analipiza,ogopa adhabu ya Mungu,ni kubwa.Binadamu,tuoneane huruma,sio kuwatesa wengine.Ujue na Mungu,akikasirika,hakopeshi.
 
Kimbunga kiko wapi, nimekuja mbio kuangalia hicho kimbunga.
 
Adhabu ya Mungu hiyo,ya kuwasaidia Israel,kuwapiga watoto na wanawake na wazee,wasio na hatia,huko Palestina,na kuwaambia wahame kwenye miji yao,ili mabomu yapigwe,binadamu inatakiwa tuoneane huruma.
Hakuna cha adhabu ya Mungu wala Nini!! Unabii wa majira ya siku za mwisho na kurudi kwa Yesu kulinyakua kanisa unazidi kutimia.
 
Huko Marekani hasa katika mji wa Florida kunatarajiwa kupigwa na kimbunga kikubwa kuwahi kutokea kwa karne nzima! Watu wote wameambiwa wahame makazi yao kwani aidha usalimike au ufe!

Ukiona mpaka Rais anatoa tahadhari kwa raia wake kwa mamilioni kuhama mji, tafsiri yake kwamba kimbunga kitaleta madhara makubwa mno! Vuta picha kama kingetokea kwetu!

Millions in Florida told to leave as Biden makes Hurricane Milton 'life or death' warning​

Hurricane Milton latest: Devastating hurricane bearing down on US to swallow 'coffin' homes - as millions ordered to flee​

Floridians flee looming catastrophe as Hurricane Milton approaches​

Mungu alitujua kabla hatujajijua na alitufanya tulivyo kwa makusudi yake
 
Milton ni kama gharika ya Nuhu tunayosimuliwa, inatisha wandugu, hakijatokea kimbunga kikubwa kama hiki kwa zaidi ya karne nzima japo Florida kila mwaka kuna vimbunga na wiki jana kilipita Helene
 
Back
Top Bottom