Vuvuzela zipigwe marufuku Tanzania

Si vuvuzela tu, na makeleke ya aina yoyote yasiruhusiwe.
Watu waangalie Mpira kama wanaaga maiti.
HAPO VIPI?
Kushangilia haina maana ya kupiga makelele yanayoaweza kuathiri afya za masikio ya wengine (noise pollution). Angalia michezo ya EPL. UEFA na hata uarabuni. Wanashangilia sana lakini hawaptoi hiyo noise pollution.
 
Mashabiki wengi huingiwa na mzuka mala wasikiapo sauti za vuvuzela,ngoma,manyanga nk. Hakika kifaa hiki kimevuta mashabik weng kushangilia timu zao (hasa nchini Tanzania). kupiga marufuku vuvuzela hasa Tanzania ni kama kurudi nyuma sio kusonga mbele,hakika vuvuzela huamsha mzuka miongoni mwa mashabiki. Cc #ephen#
 
Mashabiki wengi huingiwa na mzuka mala wasikiapo sauti za vuvuzela,ngoma,manyanga nk. Hakika kifaa hiki kimevuta mashabik weng kushangilia timu zao (hasa nchini Tanzania). kupiga marufuku vuvuzela hasa Tanzania ni kama kurudi nyuma sio kusonga mbele,hakika vuvuzela huamsha mzuka miongoni mwa mashabiki. Cc #ephen#
 
Si vuvuzela tu, na makeleke ya aina yoyote yasiruhusiwe.
Watu waangalie Mpira kama wanaaga maiti.
HAPO VIPI?
Mkuu mimi huwa ninapoangalia mpira sipendi wale wachambuzi,hata wale watangazaji kina mpenja sijui nan huwa sipendi naona kelele tu,huwa nataman mpira ukianza uchezwe tu maana wachezaji wa timu ninayokuwa nashabikia nawafahamu wote hakuna haja ya kutangaza
 
Je kelele za mashabiki unazipenda kuzisikia?
 
Kabla ya vuvuzela kuja je mashabiki walikuwa hawana mzuka katika ushangiliaji?
 
Yah za mashabiki ni sawa maan mimi mwenyewe ni shabiki wa timu fulani hivyo goli au jambo zuri likifanyika uwanjani lazma nipige kelele
Kama ni hivyo swala lako ni gumu kwasababu hata mechi za ulaya zina watangazi wanatangaza. Ingekuwa haupendi hadi kelele za mashabiki ningekushauri ubonyeze mute ili uangalie kimya kimya.
 
Mlioanza kushabikia mpira juzi mna shida,simba na kikundi chao cha ushangiliaji 'kidedea' nilikuta wakipuliza tarumbeta 1988 nilipoanza fuatlia mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…