Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hv hakuna kifaa kinachoweza kupoteza mawimbi ya redio ili yapotee,kuna mmoja niliwah kuona watu wanataka kumpigaKuna hao na wanaosikiliza viredio ingali wapo banda umiza.
Kwenye miji mikubwa zinaunguruma usiku kuchaAfadhali vuvuzela zinapatikana tu uwanjani. Kero kubwa ni hizi bodaboda zinazotoa kelele kwa milio mikali. Ukiishi mjini karibu na barabara utanielewa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama kuna mwana JF anashangilia kwa kutumia vuvuzela huyo sehemu yake ni fesibuku kwa vitoto vya 2000
Kushangilia haina maana ya kupiga makelele yanayoaweza kuathiri afya za masikio ya wengine (noise pollution). Angalia michezo ya EPL. UEFA na hata uarabuni. Wanashangilia sana lakini hawaptoi hiyo noise pollution.Si vuvuzela tu, na makeleke ya aina yoyote yasiruhusiwe.
Watu waangalie Mpira kama wanaaga maiti.
HAPO VIPI?
Mkuu mimi huwa ninapoangalia mpira sipendi wale wachambuzi,hata wale watangazaji kina mpenja sijui nan huwa sipendi naona kelele tu,huwa nataman mpira ukianza uchezwe tu maana wachezaji wa timu ninayokuwa nashabikia nawafahamu wote hakuna haja ya kutangazaSi vuvuzela tu, na makeleke ya aina yoyote yasiruhusiwe.
Watu waangalie Mpira kama wanaaga maiti.
HAPO VIPI?
Je kelele za mashabiki unazipenda kuzisikia?Mkuu mimi huwa ninapoangalia mpira sipendi wale wachambuzi,hata wale watangazaji kina mpenja sijui nan huwa sipendi naona kelele tu,huwa nataman mpira ukianza uchezwe tu maana wachezaji wa timu ninayokuwa nashabikia nawafahamu wote hakuna haja ya kutangaza
Kabla ya vuvuzela kuja je mashabiki walikuwa hawana mzuka katika ushangiliaji?Mashabiki wengi huingiwa na mzuka mala wasikiapo sauti za vuvuzela,ngoma,manyanga nk. Hakika kifaa hiki kimevuta mashabik weng kushangilia timu zao (hasa nchini Tanzania). kupiga marufuku vuvuzela hasa Tanzania ni kama kurudi nyuma sio kusonga mbele,hakika vuvuzela huamsha mzuka miongoni mwa mashabiki. Cc #ephen#
Yah za mashabiki ni sawa maan mimi mwenyewe ni shabiki wa timu fulani hivyo goli au jambo zuri likifanyika uwanjani lazma nipige keleleJe kelele za mashabiki unazipenda kuzisikia?
Kama ni hivyo swala lako ni gumu kwasababu hata mechi za ulaya zina watangazi wanatangaza. Ingekuwa haupendi hadi kelele za mashabiki ningekushauri ubonyeze mute ili uangalie kimya kimya.Yah za mashabiki ni sawa maan mimi mwenyewe ni shabiki wa timu fulani hivyo goli au jambo zuri likifanyika uwanjani lazma nipige kelele
Mlioanza kushabikia mpira juzi mna shida,simba na kikundi chao cha ushangiliaji 'kidedea' nilikuta wakipuliza tarumbeta 1988 nilipoanza fuatlia mpiraVuvuzela ni vitarumbeta vilivyobuniwa Afrika ya kusini wakati wa mashindano ya FIFA world cup 2010 kwa ajili ya mashabiki kutumia wakati wa kushangilia mchezo. Baada ya hapo vikasambaa duniani kwa haraka sana na mashambiki wa nchi mbamimbali wakaanza kuvitumia kwenye kushangilia timu zao.
Hata hivyo kelele zitokanazo na upulizaji wa vuvuzela zilishindwa kuvumilika na kusababisha zipigwe marufuku sehemu mbalimbali za dunia. FIFA ilipiga marufuku upulizaji wa vuvuzela kwenye mashindano ya world cup mwaka 2014 huko Brazili, na mpaka leo vuvuzela haziruhisiwi katika mashindano ya mpira sehemu nyingiu sana duniani.
Nimekuwa naziona vuvuzela zikitumiwa na mashabiki kwenye mashindano mpira Tanzania, kwa nini vuvuzela hazijapigwa marufuku Tanzania?
Hawa wataua watu wenye preshaWaanze kwanza na pikipiki zilizotonolewa exoze
Duuuh uhuru umezidi sasaKuna hao na wanaosikiliza viredio ingali wapo banda umiza.