mmmm umefafanua hadi naogopa. Thanks for ufafanuzi mzuri, naanza kupata picha ya mambo jinsi yalivyo. Kweli humu JF kuna kila kitu tunachokihitaji, anaebisha aseme tumpige mawe!!!!.
Hakuna mwenye uwezo wa kupinga ukweli huu.Ukweli uliothibitika kuwa ukweli kamwe hauwezi kubadilika kuwa uongo.Ni propaganda pekee ndio inayoweza kufanya ukweli uonekane kuwa uongo kwa muda fulani lakini ukweli huo hubaki kuwa ukweli.
Watu wote wanaojaribu kupinga ukweli huu hawana hoja za kupinga zaidi ya kuleta siasa na kutumia sanaa ya lugha ili kukwepa hoja za msingi kwa lengo la kurubuni akili za wasiojua ukweli huu.Mpaka sasa hakuna aliweza kupingana na hoja hizi na hawezi kutokea mtu yeyote atakayeweza kupinga hoja hizi kwa kuwa hizi ni hoja za kweli,hazipingiki.
1.Historia ya HIV/AIDS sio kweli,ni uongo mtupu.
2.Hypothesis ya HIV/AIDS ni uongo mtupu,HIV hayupo kiuhalisia,hivyo basi,AIDS haisababishwi na HIV.Hakuna kirusi chochote duniani chenye uwezo wa kushusha kinga ya mtu.
3.Vipimo vya HIV ni feki kupindukia,watu wanajua kwamba vipimo hivi vinapima HIV mwenyewe kwa muonekano, lakini ukweli ni kwamba hupima protini fulani ambazo zinaaminika hutoka kwa huyu HIV feki lakini kuna mambo mengi sana mwilini huweza kuzalisha protini hizo kama mtu atakumbwa na mambo hayo.Ndio maana kupima +ve leo halafu ukaja kupima -ve kesho si jambo la kushangaza.
4.Dawa za ARVs ni biashara kubwa ambayo ndio lengo la kuanzisha uongo huu,hazina faida yoyote mwilini zaidi ya kusababisha AIDS/UKIMWI ambao ndio watu wanauogopa.
Mtiririko wa uongo huu uko hivi kwa kifupi;
-Kwanza, wamekwambia kwamba kuna ugonjwa unaoitwa UKIMWI/AIDS,halafu wamekwambia kwamba UKIMWI unaua na hauna tiba.(Ukimwi hauui,bali ugonjwa halisi unaokuingia baada ya kinga yako kushuka eg TB,ndio unaoua,hivyo ukimwi si kitu cha kuogopa,pia ukimwi ulikuwapo tangu kuumbwa kwa mwanadamu,haujaanza mwaka 1984)
-Pili, wamekwambia kwamba UKIMWI/AIDS husababishwa na virusi viitwavyo HIV.(HIV hayupo kiuhalisia,wamempachika jina hili Retrovirus ili aonekane kwamba ana sifa ya kusababisha ukimwi ilihali sio asili yake)
-Tatu,wamekuaminisha kwamba njia ya kujua kwamba una HIV ni kwa kutumia vipimo vya HIV,na wamekuaminisha ujue kwamba vipimo hivyo vinapima HIV kwa muonekano na vipimo hivyo ni sahihi.Huu ni uongo mkubwa kama nilivyoeleza hapo juu.Kupima kitu HEWA ni ulimbukeni uliopitiliza.
-Nne, baada ya kuonekana una huyu 'HIV' (feki) wamekwambia kwamba dawa pekee inayoweza kumfubaza na kupunguza makali ya ukimwi na kurefusha maisha ni ARVs.(Sasa hapa ndipo kwenye siri kubwa,ARVs baada ya kutumiwa kwa muda fulani husababisha ukimwi na matatizo yale yote yanayoonekana kwa watu ambao tumeambiwa wana HIV)
-Tano,kwa kuwa tayari umeshaaminishwa kwamba una HIV/AIDS,na haiponi,hivyo ukianza kupata matatizo kama vile presha,matatizo ya ini,matatizo ya figo,cancer yoyote,upungufu wa damu,kisukari,kupungua uzito,nywele kudhoofika,pneumonia nk,wewe utajua kwamba HIV ndio ameanza kushika hatamu.Hivi ndivyo ubongo/akili za watu zilivyokuwa manipulated.Yaani akili za watu zimegeuzwa kiasi cha kushindwa kufikiri na kutambua kwamba matatizo haya yote yanasababishwa na ARVs pamoja na dawa zinazoendana nazo.HIV hahusiki hapa hata chembe,na ndio maana kuna watu wasiohesabika wameambiwa wana HIV na hawatumii ARVs lakini wana afya njema zaidi ya miaka 20(najua watakwambia hawa ni carriers,pia huu ni uongo mtupu).
Sasa basi,jiulize maswali yafuatayo:
1.Mbona kuna watu wengi wanaishi pamoja kama mke na mume na wamezaa watoto lakini mmoja +ve ilihali mwingine ni -ve na watoto ni -ve au vinginevyo?
2.Mbona kuna watu wasiohesababika ambao wameambiwa wana HIV lakini hawatumii ARVs na wana afya njema zaidi ya miaka 20?
3.Mbona kuna watu wameacha kutumia ARVs kwa muda mrefu na hawapati matatizo ambayo wale wanaotumia ARVs wanayo?
4.Mbona kuna watu wasiohesabika wana UKIMWI lakini hawana HIV?
5. a/.Je HIV anasababishaje cancer?
b/.Je HIV anasababishaje matatizo ya moyo?
c/.Je HIV anasababishaje kufeli kwa ini?
d/.Je HIV anasababishaje kufeli kwa figo?
e/.Je HIV anasababishaje kisukari?
f/.Je HIV anasababishaje upungufu wa damu/anaemia?
Matatizo haya kamwe hayawezi kusababishwa na HIV kwa namna yoyote ile.Matatizo haya husababishwa na matumizi ya muda mrefu ya ARVs.Soma side effects za mojawapo ya ARV ambayo hutumika mara kwa mara hasa hapa kwetu Tanzania kwenye link hapo chini.ARVs zote zinaleta matatizo,huu ni mfano tu.Side effect hizi ndio MZIZI wa matatizo tajwa hapo juu kama una uelewa kidogo wa sayansi ya mwili.Pia hiyo ni website inatumika na CDC ya wamarekani wenyewe,hivyo taarifa utakayoiona humo haijachakachuliwa na mimi.
https://aidsinfo.nih.gov/drugs/290/tenofovir-disoproxil-fumarate/0/patient
Athari kubwa ya dawa hizi ni LACTIC ACIDOSIS kwenye damu.Lactic acidosis ndio mzizi wa matatizo yote yaliyotajwa hapo juu.Kinga hushuka,moyo hushindwa kufanya kazi kama kawaida yake,ini huathirika,figo huathirika,uzalishwaji wa damu huathirika,ni rahisi kupata kisukari,chembe hai za mwili hudhoofika kiasi ambacho hata nywele hudhoofika na ngozi hudhoofika.Kama mtumiaji wa ARVs atakuwa anakula sana vyakula vya asili na matunda,huwa na nafasi nzuri ya kuepukana na baadhi ya matatizo haya kwa kuwa vyakula hivyo vitamsaidia kuondoa sehemu ya sumu ya dawa hizo.