Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbali na ngozi yakePamoja na ngozi yake kung'aa, muathirika wa UKIMWI anayetumia dawa , jasho lake hunuka Dawa ya ARV.
Sote tupo njia moja. Tuwe makini.
Mkuu usipochuja huku utakula mpaka makapihapo sijaona jinsi ya kumgundua mwenye ukimwi kutokana na maelezo yko, nadhani upo hang over
Sasa hiyo harufu ya ARV ndio ikoje sasa?unge dadavua zaidi kama ni choking smell au?mtu hata kuviona cjawahi sembuse harufu kweli???Pamoja na ngozi yake kung'aa, muathirika wa UKIMWI anayetumia dawa , jasho lake hunuka Dawa ya ARV.
Sote tupo njia moja. Tuwe makini.
😀😀😀😀😀😀sijaona sehemu ya kumgundua mwathirika wa UKIMWI ila naona namna ya kugundua mtumiaji wa arv
wengine tunatoa jasho la arv baada ya kula mboga na wanyama/ndege walionenepeshwa kwa arv
mtatunyanyapaaa buree wakuu
Ukiacha dalili hizo pia muangalie kwenye tezi za shingo wenyewe mnaita tonsil(chini ya tawa kwenye maungio na shindo) huwa zinatanuka au zinakuwa kama zimevimba....just find out you can seePamoja na ngozi yake kung'aa, muathirika wa UKIMWI anayetumia dawa , jasho lake hunuka Dawa ya ARV.
Sote tupo njia moja. Tuwe makini.
Pia wanasema ngozi ya mgonjwa inavutika kama mpira...yaani inakuwa nyepesiì na inavutikaUkiacha dalili hizo pia muangalie kwenye tezi za shingo wenyewe mnaita tonsil(chini ya tawa kwenye maungio na shindo) huwa zinatanuka au zinakuwa kama zimevimba....just find out you can see
uzi bila kutupia hio harufu unakua haujasimama [emoji23]Pamoja na ngozi yake kung'aa, muathirika wa UKIMWI anayetumia dawa , jasho lake hunuka Dawa ya ARV.
Sote tupo njia moja. Tuwe makini.
Mkuu, naona huko kwenu mmependelewa kwasababu viroba bado vinapatikana kwa wingi eehhh... tehteehhhPamoja na ngozi yake kung'aa, muathirika wa UKIMWI anayetumia dawa , jasho lake hunuka Dawa ya ARV.
Sote tupo njia moja. Tuwe makini.
Akikutag nitagAkikujibu nitag mkuu