VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

hapo sijaona jinsi ya kumgundua mwenye ukimwi kutokana na maelezo yko, nadhani upo hang over
 
Kuku hawa tunaokula wa wiki tatu wanakuzwa na ARV,Wapenzi wa Kitimoto wakuzwa na ARV,sasa utatofautishaje ARV ya dawa na ya kula nyama za BOOSTER? Kwani wanaukula Bia au Soda au Ugali au wali majasho yao yananuka hivyo? Je akiwa anakunywa maji mengi kuneutralise harufu inakuwaje?
 
Mtazame mtu usoni, akipepesa macho anaweza akawanao. UKIMWI upo, jilinde na mlinde mwenzako.
 
Pamoja na ngozi yake kung'aa, muathirika wa UKIMWI anayetumia dawa , jasho lake hunuka Dawa ya ARV.

Sote tupo njia moja. Tuwe makini.
Sasa hiyo harufu ya ARV ndio ikoje sasa?unge dadavua zaidi kama ni choking smell au?mtu hata kuviona cjawahi sembuse harufu kweli???
 
sijaona sehemu ya kumgundua mwathirika wa UKIMWI ila naona namna ya kugundua mtumiaji wa arv

wengine tunatoa jasho la arv baada ya kula mboga na wanyama/ndege walionenepeshwa kwa arv

mtatunyanyapaaa buree wakuu
😀😀😀😀😀😀
 
Pamoja na ngozi yake kung'aa, muathirika wa UKIMWI anayetumia dawa , jasho lake hunuka Dawa ya ARV.

Sote tupo njia moja. Tuwe makini.
Ukiacha dalili hizo pia muangalie kwenye tezi za shingo wenyewe mnaita tonsil(chini ya tawa kwenye maungio na shindo) huwa zinatanuka au zinakuwa kama zimevimba....just find out you can see
 
Ukiacha dalili hizo pia muangalie kwenye tezi za shingo wenyewe mnaita tonsil(chini ya tawa kwenye maungio na shindo) huwa zinatanuka au zinakuwa kama zimevimba....just find out you can see
Pia wanasema ngozi ya mgonjwa inavutika kama mpira...yaani inakuwa nyepesiì na inavutika
 
Pamoja na ngozi yake kung'aa, muathirika wa UKIMWI anayetumia dawa , jasho lake hunuka Dawa ya ARV.

Sote tupo njia moja. Tuwe makini.
Mkuu, naona huko kwenu mmependelewa kwasababu viroba bado vinapatikana kwa wingi eehhh... tehteehhh
 
Msijidanganye huwezi kumgundua kwa harufu wala macho zaidi ya kupima damu
 
Hii habari bila picha haijakamilika, weka picha tuone wote. Halafu naomba nikazie hapa kwenye kutaka kujua kama kaathirika au sio, mkuu wewe cha kufanya piga game kavu usitumie kinga then baada ya muda nenda kapime vipimo vitakuambia kama anao au hana full stop, hizo habari za kunusa jasho ni ramli chonganishi
 
Weka picha ya harufu hiyo ili habari yako iwe na mashiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…