ofkoz na huwa inakosa nuruPia wanasema ngozi ya mgonjwa inavutika kama mpira...yaani inakuwa nyepesiì na inavutika
Inanuka hivi [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]ARV
Inanukia vip... 🙂🙂🙂
NGOZI ku ng'a kivipi mkuu sijakuelewaPamoja na ngozi yake kung'aa, muathirika wa UKIMWI anayetumia dawa , jasho lake hunuka Dawa ya ARV.
Sote tupo njia moja. Tuwe makini.
Aisewe Jf hiiKwahiyo Unamuomba Jasho lake Unuse ndo Uombe tunda?
Jf imevamiwaaPamoja na ngozi yake kung'aa, muathirika wa UKIMWI anayetumia dawa , jasho lake hunuka Dawa ya ARV.
Sote tupo njia moja. Tuwe makini.
Mi nakwambia FB imeingia humuha ha! mambo ya weekend hayo! jamaa keshakula moja moto moja baridi ati harufu ya ARV duh!
Yap.ofkoz na huwa inakosa nuru
Nitamjaribu mtuYap.
Mie huwa nikiwa na mwanaume, huwa namshika ngozi yake kwanza.
Nikiona inavutika....nasepa
Ila....sio wote wenye ngozi za kuvutika ni wagonjwa.....shauri zakoNitamjaribu mtu
Kuna mtu anao lakini anadhani watu hawajuiIla....sio wote wenye ngozi za kuvutika ni wagonjwa.....shauri zako
Yap...jaribu, uje kutupa majibuKuna mtu anao lakini anadhani watu hawajui
Ndio nitafanya kujaribia km huo utafiti ni wa kweli