VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Kuhusu virus kuwa wadogo Lazima electronic microscope hiyo si tu virus Hata bacteria, and some protozoans

Nilichouliza mimi Inasemekana kwamba HIV virus Hamna aliewahi kumwona even using such device. Je ni kweli, if so lete proof mkuu

Bakteria wengi wanaonekana kwa microscope za kawaida. Virus wa HIV waneonekana kuanzia zamani. Na sasa hivi wanaonekana kwa kutumia 3D electronic microscope. Pitia hii article kutoka PubMed
Catching HIV ‘in the act’ with 3D electron microscopy
 
Kuhusu virus kuwa wadogo Lazima electronic microscope hiyo si tu virus Hata bacteria, and some protozoans

Nilichouliza mimi Inasemekana kwamba HIV virus Hamna aliewahi kumwona even using such device. Je ni kweli, if so lete proof mkuu
Napigilia msumari yaani inavyosemekana huyo virus hajawahi ku be isolated yupo kwa kufikirika tu na picha tunazoonaga nizakuimagine tu, na hakuna kipimo kinachopima uwepo wake zaidi yakupima antibodies zinazoaminika hutokea pale mwili unapoanza kupambana na huyo virus, japo sijajua viroload inapimwaje ntashukuru nkipata ufafanuzi juu ya hili pia
 
Dalili za kwanza kabsa za UKIMWI ni zipi?
Tafiti nyingi zimeonyesha dalili zifuatazo hujitokeza kwa watu wengi waliopata maambikizi ya VVU kwa mara ya kwanza. •Homa •Uchovu •Maumivu ya viungo na misuli •Kuvimba mitoki sehemu mbalimbali ya mwili •Kupata vidonda kwenye koo •Upele mchanganyiko kwenye kiwiliwili •Vidonda sehemu mbali mbali mwili •Kuharisha •Kichefuchefu na Kutapika •Kupungua uzito •Kutoka jasho hasa wakati wa usiku •Maumivu ya kichwa. •Homa ya uti wa mgongo (baadhi ya wagonjwa. Dalili hizi za awali hufanana na dalili za mtu anayeumwa mafua. Dalili hizi hujitokeza katika kipindi cha wiki mbili mpaka 6 toka kupata maambukizi ya VVU.
 
Hiz ARV zipo za aina ngapi?
 
Katika jibu la msingi la swali hili nimeweka link. Ipitie.

Juu ya viral load inapima RNA za HIV kwenye damu ya mgonjwa.
 
Inawezekana umekuwa na maswali ambayo yamekuwa yakikutatiza juu ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na ugonjwa wa UKIMWI.

Leo nakupa nafasi ya kuuliza swali lolote juu ya mada hii. Twende kazi!
Hivi ni kweli kwamba "kuna dawa ambayo ukimeza kabla/muda mfupi baada ya kujamiana inazuia maambukizi ya VVU"???
 
Swali namba 2 liko poa Mkuu!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…