Papa Mobimba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 1,153
- 1,359
Ni kweli dawa hizo. Zinatolewa kwa watu walioko katika mazingira hatarishi ya kupata maambukizi ya VVU mfano Madaktari Baada ya kujichoma sindano, iwapo umekutana na mtu ambaye ana maambukiziHivi ni kweli kwamba "kuna dawa ambayo ukimeza kabla/muda mfupi baada ya kujamiana inazuia maambukizi ya VVU"???