VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Hivi ni kweli kwamba "kuna dawa ambayo ukimeza kabla/muda mfupi baada ya kujamiana inazuia maambukizi ya VVU"???
Ni kweli dawa hizo. Zinatolewa kwa watu walioko katika mazingira hatarishi ya kupata maambukizi ya VVU mfano Madaktari Baada ya kujichoma sindano, iwapo umekutana na mtu ambaye ana maambukizi
 
Umeshamuona huyo HIV?
 
Majibu ya kitaalamu sana haya!!!
 
3D ni teknolojia ya juu sana ktk maswala maswala ya picha na michoro. Kifupi hutoa/huonesha picha/mchoro kwa uharisia wake. Ahsante Mkuu, kifupi wewe ni mbobezi ktk maswala ya HIV/AIDS kama siyo afya kwa ujumla wake.
 
Inawezekana umekuwa na maswali ambayo yamekuwa yakikutatiza juu ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na ugonjwa wa UKIMWI.

Leo nakupa nafasi ya kuuliza swali lolote juu ya mada hii. Twende kazi!


Mteja /Mtu anapogundulika ni HIV+... Ni vipimo gani kwa sasa ambavyo huwa anatakiwa kufanya na kwa interval ipi kama vile kwa ajili ya Monitoring ya CD4, kucheki wingi wa virusi, athari za dawa kwa mgonjwa kwenye figo na ini..... Nawaza tuu...
 
Ni kweli dawa hizo. Zinatolewa kwa watu walioko katika mazingira hatarishi ya kupata maambukizi ya VVU mfano Madaktari Baada ya kujichoma sindano, iwapo umekutana na mtu ambaye ana maambukizi
Mkuu Vipi Upatikanaji Wa Hizi Dawa Upoje!, namaanisha zinapatikana hadi kwenye maduka ya dawa ya kawaida au Hadi Hospital?.
 
Ni lazima hizi dalili zijitokeze zote kwa the same time ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…