Papa Mobimba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 1,153
- 1,359
Mama yangu nikianza kuandika hapa farmakolojia..Si hapatatoshaNatamani ungejibu kitaalamu zaidi..... Natamani kujua zaidi ya hili ulichoandika pekee....
Dhana yako sio kweli. Ukweli ni kwamba waliopima wengi wanakuwa wameisha anza kuugua wanasumbuka na homa au nini na nini ndipo huambiwa wapmeKitu kimoja nimenotice kwa waliopima na wasiopima ila wana virusi bila kujua, wakipimwa na kujua wana virusi ndio ugonjwa huanzia hapo rasmi. Kukonda na hata kufa.
Asante.....Kuna vipimo vya HIV kwa kutumia mate. HIV wanaishi kwenye maji maji yote ya mwili. Lakini hivi vipimo vinapima kinga badala ya HIV wenyewe
Tena hayo ndio yana kiwango kikubwa cha VIRUSI.Asante.....
Maji maji yoyote mean ata majimaji ya ukeni na sperms pia?
Inamaana mwanamme mwathirika akiejaculate kwa mwanamama bila kinga basi ni waz mwanamama uyo kaupata?
Tafiti nyingi zimeonyesha dalili zifuatazo hujitokeza kwa watu wengi waliopata maambikizi ya VVU kwa mara ya kwanza. •Homa •Uchovu •Maumivu ya viungo na misuli •Kuvimba mitoki sehemu mbalimbali ya mwili •Kupata vidonda kwenye koo •Upele mchanganyiko kwenye kiwiliwili •Vidonda sehemu mbali mbali mwili •Kuharisha •Kichefuchefu na Kutapika •Kupungua uzito •Kutoka jasho hasa wakati wa usiku •Maumivu ya kichwa. •Homa ya uti wa mgongo (baadhi ya wagonjwa. Dalili hizi za awali hufanana na dalili za mtu anayeumwa mafua. Dalili hizi hujitokeza katika kipindi cha wiki mbili mpaka 6 toka kupata maambukizi ya VVU.
Achana nao twende kazi Papa MobimbaKuna watu wanafikiria niko hapa kuuza chai
Dah, hapa taifa zima tuna dalili za hiv basi.Tafiti nyingi zimeonyesha dalili zifuatazo hujitokeza kwa watu wengi waliopata maambikizi ya VVU kwa mara ya kwanza. •Homa •Uchovu •Maumivu ya viungo na misuli •Kuvimba mitoki sehemu mbalimbali ya mwili •Kupata vidonda kwenye koo •Upele mchanganyiko kwenye kiwiliwili •Vidonda sehemu mbali mbali mwili •Kuharisha •Kichefuchefu na Kutapika •Kupungua uzito •Kutoka jasho hasa wakati wa usiku •Maumivu ya kichwa. •Homa ya uti wa mgongo (baadhi ya wagonjwa. Dalili hizi za awali hufanana na dalili za mtu anayeumwa mafua. Dalili hizi hujitokeza katika kipindi cha wiki mbili mpaka 6 toka kupata maambukizi ya VVU.
Baba hii chai hamna VVU kwenye majimaji mengine zaidi ya damu....Tena hayo ndio yana kiwango kikubwa cha VIRUSI.
Mwanaume akiejaculate ana mweka mwanamke katika hali kubwa ya kupata maambukizi
Mhuuu...... Maji ata maziwa ya mama?Tena hayo ndio yana kiwango kikubwa cha VIRUSI.
Mwanaume akiejaculate ana mweka mwanamke katika hali kubwa ya kupata maambukizi
Sio aina damu .. Lakini ni ukosefu wa vitu ambavyo tunaweza kuviita kama mlango wa viruses kuingia kwenye seli za mtu. Kuna watu hawana hivyo vitu(CCRK5) kwenye seli zao za damu hivyo hawapati maambukiziAsante kwa jibu.
Je kuna ukweli kuwa kuna watu hawapati maambukizi ya VVU kutokana na aina ya damu yao?
Je ni baada ya muda gani unaweza angalau kuwa na ka imani kidogo baada ya kukunjuka peku na usiyemwamini amini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]H
Hapana. Huwa hazijitokezi zote kwa wakati mmoja
Kweli mkuu nazani anautaalamu wa mambo haya lakini si general hivyo......Baba hii chai hamna VVU kwenye majimaji mengine zaidi ya damu....
Usidanganye watu...wewe unapofanya ngono damu huwa zinatoka... nimeweka hii topic kwa ajili ya kuelimisha watu. Don't mislead the public.Baba hii chai hamna VVU kwenye majimaji mengine zaidi ya damu....
Sasa kama wanakaa kwenye damu kwa nini upime mate!.. huyo bwana is empty kana canKweli mkuu nazani anautaalamu wa mambo haya lakini si general hivyo......
Ila kama wanakaa kwenye damu mbona nshawai skia kipimo cha mate ndo nkawa najiuliza inakuaje?
Formula yangu huwa ni moja kama simwani mwenzagu sijaribu kufanya kitu chochote ambacho kita risk maisha yanguSio aina damu .. Lakini ni ukosefu wa vitu ambavyo tunaweza kuviita kama mlango wa viruses kuingia kwenye seli za mtu. Kuna watu hawana hivyo vitu(CCRK5) kwenye seli zao za damu hivyo hawapati maambukizi
Hapa umenena hakikaSio aina damu .. Lakini ni ukosefu wa vitu ambavyo tunaweza kuviita kama mlango wa viruses kuingia kwenye seli za mtu. Kuna watu hawana hivyo vitu(CCRK5) kwenye seli zao za damu hivyo hawapati maambukizi
Mhuuu...... Maji ata maziwa ya mama?
Inamaana denda tu linaeza sababisha maambukizi?
Apa unanchanganya maana tungekufa mno...
Nshawai kwenda sijui wanaita Ctc kuna Doctor akaniambia Virus wanaishi kwende damu pekee,
Tena akanimbia ili mtu aathirike ni lazima michubuko iwe kwa wote wawili na ile michubuko igusane( muingiliano wa damu)