VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Majibu yako ni mazuri kwenye swali juu ya unavyomjua R. Gallo na asili ya Ukimwi. Ila majibu yako ni ya darasani sana! Yaani ni yale yanayosikika mara kwa mara popote ndugu. Mchango wa majibu nilivyokuwa naelewa Mimi:
Robert Gallo ingawaje ndiye aliyegundua hivyo virus, yeye mwenyewe na wenzake ndio waliovitengeneza VVU hivyo. Walichofanya, wakati wanatengeneza ilikuwa siri, wakati wa kutangazia dunia wakaita wamegundua.

Kwa hiyo swali la kwanza na la pili vilitegemeana majibu!

Kwa maana hiyo, VVU imetengenezwa maabara, kwa majibu wa muktadha wa jibu la mwanzo la Robert Gallo ni nani!

Kuhusu swali la tatu, naamini kwa siri zilizomo kwenye swala la HIV/AIDS, dawa za kuponya na kuondoa Ukimwi zimefanywa siri au hawataki kuzitoa- kutegemeana na malengo ya kuvileta VVU.

Nahisi hata provision ya dawa za VVU/Ukimwi, siamini sana kama nia ni nzuri. Ukisoma na kufuatilia vzr unaona kama kuna ukakasi ktk maamuzi ya dawa zile!
 
Mf mtu A amekutana kimwl na mtu B ambae ni muathirika na baada ya mwezi 1 mtu A akafanya vipimo vya HIV,Je majibu yatakuwa sahihi ?
 
Usione aibu kukubaliana na maandiko ya wenzio, sasa wewe unataka tukubaliane na andiko lako halafu wewe unakataa ya wenzio
 
Uyu jamaa n muongo maana mpk saiv duniaan hakuna publication inayosema huyu ndiye HIV virus
Kid stop lying kama huna ukwel tafuta ela kanywe biaa tupo kwenye masherehe saiv
Matango pori ya semina zenu pelekea wasiojuaa
Baki hivyo hivyo
 
Dig the EA,

Achana na story za vijiweni.

Kwani wao kina Galo ndio wana viwanda vya kutengeneza dawa. Utengenezaji wa dawa ni process.
Kwa hiyo kwa mtazamo wako hutaki watu watumie ARV.

ENDELEA KUJITUNZA NA KUWALINDA UWAPENDAO
 
Nilikuuliza swali kuwa umeshawahi kukuona HIV mpaka sasa hujanijibu ??
 
Nikupe tu siri muandishi wa huu uzi

Huu uzi ni wa kwako lkn kuna jamaa anajiita DECEPTION akija humu nadhan utaukimbia mwenyewe uzi huu
 
Reactions: B51
Theory zake zilisha kataliwa. Kama hujui analaumiwa kusababisha idadi ya wagonjwa wa HIV kufariki sana SOUTH AFRICA wakati wa utawala wa Thabo Mbeki.
Hujamjibu swali mkuu, anakuuliza umewahi msikiliza? Lengo akuulize hizo hypothesis Zake Kama unavyosema, validity au invalidity zake zipoje?


Kupingwa si Hoja, cuz HIV/AIDS is business to some holders, hivyo anaweza Kupingwa tu.

Nadhani ungetusaidia invalidity Kama utapenda mkuu

Natanguliza shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…