VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Mkuu ni mimi nakataa kuhusu mate, maana mate wanasema yana enzymes n medium which inhibit retrovirus
Ukiona point zangu zote kuhusu mate nasema kuna low risk. Kusema haiwezi kabisa sio kweli. Unaweza kupata maambukizi ila uwezekano ni mdogo. Kwa sababu na ndicho ambacho hata picha uliyotuma inamaanisha. "The risk is lower"
 
Kazi kubwa ya hizi dawa ni kupunguza kasi ya hiv replication. Pili Kwanini mtoto mmoja anapata maambukizi na mwingine hapati sababu ya kitaalam haijulikani
"Mwingine anazaliwa na HIV mwingine hapana" Mkuu assume ww ni mwalimu na ukafundsha wanafunzi wako hivi, utakuwa umewasaidia kiasi gani.
 
Mkuu nisaidie hapa....
1. Ni mechanism gani ambayo itapelekeaa mtoto aliyenyonya maziwa ya mama yenye HIV nae kupata maambukizi.

2. Ni mechanism gani inayepelekea mama mwenye HIV kumwambukiza mtoto aliuyeko tumbon ilihali awachangii damu?

3. Na vipi kwenye mazingira ambayo baba ni mwathirika na mama ajaathirika mtoto anaweza zaliwa na virusi...
 
1.Virusi ni vimelea wadogo sana. Hawawezi kuonekana kwa macho lakini wanaweza kuonekana kwa kutumia electronic microscope

2.mtu akiwa katika mazingira ambayo hawezi kupata maambukizi mengine hawezi kufariki kutokana na virus hawa
Swali lake la pili was tricky.. I love the way umelijibu. Cz theoretically kama mtu yupo kwa mazingira yasiyo na infectious disease/ pathogens ya aina yoyote means hata kinga inakuwa haina kazi.
 
Bila shaka unaujuzi ila unamuuliza kwa kumpima kama ni mjuzi kweli simple tu maswali yako ni yakitabibu kama si mtu mchukua dozi tafadhari
Kabisaa nawewe umeliona hili.. Anamjaribu lkn jamaa kampangua vilivyo... 😊😊 😊
 
Papa Mobimba nakubaliana kuwa maziwa ya mama yana retrovirus, nilisoma mahala kuwa mama muathirika anaweza kumyonyesha mwanaye ambaye hajaathirka bila kumpa chakula kingine chochote, n once atakapomuanzishia chakula basi hatakiwi kumyonyesha tena, the reason ni kuwa chakula kigumu husababisha michubuko ambayo ni microscopic na iwapo atanyonyweshwa basi virusi wataingia kupitia hiyo michubuko

Vladimirovich Putin na wewe unaweza ukatoa
 
W

Wagonjwa wamegawanyika katika makundi matatu. Kuna ambao dalili hujitokeza ndani ya miaka miwili mpaka mitatu, wengi Dalili hujitokeza baada ya miaka nane
kuna sehemu umejibu kua inachukua wiki 2 mpaka 6.....Fafanua kidogo
 
PRINCEd, HIV huyu mdudu lazima awe ndan ya CD4 cell ambazo zinahusika na kinga ya mwili, na cell izi ni aina moja wapo ya seli hai nyeupe za Damu . Ukiachana na damu. HIV anapatikana pia ktk maji maji ya mwili mfano shahawa, maziwa n.k

1- kunyonya sio inshu, ila lazima ufaham ukuta wa mdomon wa mtoto mchanga huwa ni laini sana, kiasi kwamba kupata michubuko wakat ananyonya ni rahisi. Michubuko hii sio lazima mpaka ionekane. Inaweza kua midogo sanaaaaaa ,nakwakua Maziwa yana HIV basi watajipenyeza hapo kisha waingie kwa mfumo wa damu ..tayar HIV.
(ukiwa huna mchubuko wowote mwilin HATA UMWAGIWE LITA 100 ZA HIV HUPAT NG'OO)

2-mtoto awapo tumbon nikiumbe anayejitegemea ( ndio maana ukitoa mimba. Umeua)
Sasa mtoto awapo tumbon ukuta ulomzunguka hauruhusu kirusi kupita so akiwa tumbon yupo salama...MTOTO ANAPATA HIV WAKAT WA MAMA KUJIFUNGUA PALE UWA KUNATOKEA NA MICHUBUKO ...siku izi mjamzito anayetumia ARVs so anashusha kiwango cha Virusi mwilin hii inakuja kupunguza uwezekano wa kumwambukiza mtoto hata wakat wakujifungua.

3-MTOTO HATOWEZA ZALIWA NA VIRUSI ,...sasa atavipataje ili hali Mama yake Hana??? ...huyo baba labda awe na roho mbaya tu, amuambukize mtoto kwa makusudi baada ya kuzaliwa !!

NB.... Kupata HIV kwa njia ya mate ningumu mnooooo kiasi kwamba labda unywe karibu lita 20 za mate ya muathirika !!
 
kuna sehemu umejibu kua inachukua wiki 2 mpaka 6.....Fafanua kidogo
HIV ukushampata leo. Anakaa masaa 72 ndo anaingia kwa CD4. Ndio maana ukifanya ngono mbaya unatakiwa uwai hosp uanze PEP within 72 hrs.

Usipowahi, anaingia . Sasa basi akishaingia kuanzia wiki ya pili mpaka miez mitatu hadu sita zile dalili za awali zinatokeza.
Mfano Kichwa sanaaa yaan kichwa kinauma balaa,, Vidonda mdomon. Jasho la usiku balaaaaa , unachoka mnooo kwa sababu Walinzi wa mwili wanatumia Nguvu nyingi ya mwili kupambana na huyu Adui mpya.
80% ya watu huonyesha dalili izi..ingawa wengine huwa hawaonyeshi mpaka miaka michache ijayo.sababu kuu Ni Msosi na laif style....
Umepata HIV hujui lkn unakula msosi wa maana, mazoezi sanaaa, huma tabia mbaya za kiafya..niwazi kua Utakaa bila kujijua km una HIV.

Hata ivo izo Dalili huwa zinakuja.na kuondoka ..ndomaana watu wanashauriwa KUPIMA AFYA ZAO ILI WAJIJUE NA WAANZISHIWE DOZI MAPEMA WAKAT AMBAO KIWANGO CHA VIRUSI KIPO CHINI.


msisahau homa Ya INI..mnaisahau lkn nayo haina utofaut na HIV
 
VVU huwezi wakuta kwenye Fluids, mpaka level ya UKIMWI ndio wanakuwa wapo mpaka huko.
Hope unajua tofauti ya VVU na UKIMWI
 
Kazi kubwa ya hizi dawa ni kupunguza kasi ya hiv replication. Pili Kwanini mtoto mmoja anapata maambukizi na mwingine hapati sababu ya kitaalam haijulikani
Bado hujatujibu hili swali vizuri mkuu hbu rejea swali na ujibu kwa upana zaidi
 
Back
Top Bottom