wiseman734
Senior Member
- Apr 29, 2018
- 137
- 210
Mkuu ni mimi nakataa kuhusu mate, maana mate wanasema yana enzymes n medium which inhibit retrovirusPoint yako hapa ni kuzungumzia mate au semen na vaginal fluids
Ukiona point zangu zote kuhusu mate nasema kuna low risk. Kusema haiwezi kabisa sio kweli. Unaweza kupata maambukizi ila uwezekano ni mdogo. Kwa sababu na ndicho ambacho hata picha uliyotuma inamaanisha. "The risk is lower"Mkuu ni mimi nakataa kuhusu mate, maana mate wanasema yana enzymes n medium which inhibit retrovirus
"Mwingine anazaliwa na HIV mwingine hapana" Mkuu assume ww ni mwalimu na ukafundsha wanafunzi wako hivi, utakuwa umewasaidia kiasi gani.Kazi kubwa ya hizi dawa ni kupunguza kasi ya hiv replication. Pili Kwanini mtoto mmoja anapata maambukizi na mwingine hapati sababu ya kitaalam haijulikani
Ni kwamba wachukue tahadhari"Mwingine anazaliwa na HIV mwingine hapana" Mkuu assume ww ni mwalimu na ukafundsha wanafunzi wako hivi, utakuwa umewasaidia kiasi gani.
Ulitaka niwaambiaje"Mwingine anazaliwa na HIV mwingine hapana" Mkuu assume ww ni mwalimu na ukafundsha wanafunzi wako hivi, utakuwa umewasaidia kiasi gani.
ππ€£π ππ€£πpakua tule basi....
Muulize kama amewahi kuona malariaKutokuona au kuona what difference does it make?
Swali lake la pili was tricky.. I love the way umelijibu. Cz theoretically kama mtu yupo kwa mazingira yasiyo na infectious disease/ pathogens ya aina yoyote means hata kinga inakuwa haina kazi.1.Virusi ni vimelea wadogo sana. Hawawezi kuonekana kwa macho lakini wanaweza kuonekana kwa kutumia electronic microscope
2.mtu akiwa katika mazingira ambayo hawezi kupata maambukizi mengine hawezi kufariki kutokana na virus hawa
Kabisaa nawewe umeliona hili.. Anamjaribu lkn jamaa kampangua vilivyo... ππ πBila shaka unaujuzi ila unamuuliza kwa kumpima kama ni mjuzi kweli simple tu maswali yako ni yakitabibu kama si mtu mchukua dozi tafadhari
Ingawa nmedandia tureni kwa mbele [emoji23][emoji23][emoji23]Ooh shukrani
HahahaHao huwa hawakosekani..hata darasani kuna watu walikuwa wanamuuliza Mwalimu Mkwawa alikufaje kumbe wamesoma jana usiku
kuna sehemu umejibu kua inachukua wiki 2 mpaka 6.....Fafanua kidogoW
Wagonjwa wamegawanyika katika makundi matatu. Kuna ambao dalili hujitokeza ndani ya miaka miwili mpaka mitatu, wengi Dalili hujitokeza baada ya miaka nane
HIV ukushampata leo. Anakaa masaa 72 ndo anaingia kwa CD4. Ndio maana ukifanya ngono mbaya unatakiwa uwai hosp uanze PEP within 72 hrs.kuna sehemu umejibu kua inachukua wiki 2 mpaka 6.....Fafanua kidogo
Bado hujatujibu hili swali vizuri mkuu hbu rejea swali na ujibu kwa upana zaidiKazi kubwa ya hizi dawa ni kupunguza kasi ya hiv replication. Pili Kwanini mtoto mmoja anapata maambukizi na mwingine hapati sababu ya kitaalam haijulikani