Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Uliuzaga match mamiiii?Mi huwa naamini akili inahusiana kwa asilimia kubwa sana na mwili...yani vile akili inawaza una jambo fulani ndio na mwili unarespond kwa unachowaza
Kipindi nipo chuo nilishawahi kuhisi nina mimba,na nikawa na uhakika ninayo kweli mana dalili nilikuwa nazo lakini kupima naogopa
Ajabu nilivyopima kipimo kikaonesha sina....na dalili zote zikapotea
Kama umepima kweli na ikaonesha huna HIV,ni suala la akili yako kuamini unachokiona
Kuwa makini
Kwahiyo ulivokuwa chuo ulishaanza ngono. Afu hukutumia kondom...Mi huwa naamini akili inahusiana kwa asilimia kubwa sana na mwili...yani vile akili inawaza una jambo fulani ndio na mwili unarespond kwa unachowaza
Kipindi nipo chuo nilishawahi kuhisi nina mimba,na nikawa na uhakika ninayo kweli mana dalili nilikuwa nazo lakini kupima naogopa
Ajabu nilivyopima kipimo kikaonesha sina....na dalili zote zikapotea
Kama umepima kweli na ikaonesha huna HIV,ni suala la akili yako kuamini unachokiona
Kuwa makini
Uliuzaga match mamiiii?
Kwahiyo ulivokuwa chuo ulishaanza ngono. Afu hukutumia kondom...
Leo ukirudi nyumbani nakucharaza bakora makalioni.
Huogopi ukimwi?Mie situmiagi condom dear babu
Huogopi ukimwi?
Lord have Mercy!Mie situmiagi condom dear babu
Dalili kama za HIV mkuu.Halafu ndio thread yako ya kwanza ulivyojiunga na JF!
Sasa kama umeenda kwa Dr. amekuambia huna, una haha nini???????
Asante joanah....Mi huwa naamini akili inahusiana kwa asilimia kubwa sana na mwili...yani vile akili inawaza una jambo fulani ndio na mwili unarespond kwa unachowaza
Kipindi nipo chuo nilishawahi kuhisi nina mimba,na nikawa na uhakika ninayo kweli mana dalili nilikuwa nazo lakini kupima naogopa
Ajabu nilivyopima kipimo kikaonesha sina....na dalili zote zikapotea
Kama umepima kweli na ikaonesha huna HIV,ni suala la akili yako kuamini unachokiona
Kuwa makini
Poa mkuu nitafanya hivyo.Mkuu pima kisukari kama doctor alivyokwambia
Kwel mjingawewe kama jina lako mkuu.Naogopa hata kushauri. Nisije nikaua mtu.
Mkuu ugua pole[emoji125][emoji125][emoji125]
Asantee kwa kunipa nguvu.Huna maambukizi wewe relax
Hakika umenena vyema mkuuMi huwa naamini akili inahusiana kwa asilimia kubwa sana na mwili...yani vile akili inawaza una jambo fulani ndio na mwili unarespond kwa unachowaza