okyo
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 2,003
- 1,507
Mkuu ni vile sina muda wa kuandika sana nadhani wewe hujapita magumu mimi nikikueleza yaliyonipata apa unaweza jua ni jinsi gani uko salama lakini saikolojia yako ndo inagonjeka hivyo mwili una respond kwenye hisia zako mimi yalinikuta nilimaliza dalili zote za HIV hakuna hata moja ambayo sikuwa nayo balaa zaidi nilipoenda pima FBP na kukuta kinga imeshuka zaidi aseh asikuambie mtu niliteseka sana nachoweza sema Mungu ambariki sana yule dada daktari alinishauri kitu kikubwa sana aligundua tatizo langu lilikuwa wapi na wala sio HIV mana nilipima sikuwa na mambukizi now unaenda mwaka wa pili napima karibu kila mwezi niko salama kabisa
Ushauri acha kujitesa kwa stress mzee iko unachokiona kwa kipimo apo ni sahihi
Ushauri acha kujitesa kwa stress mzee iko unachokiona kwa kipimo apo ni sahihi
Sawa cole williams nitafanya hivyo.