VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Mkuu ni vile sina muda wa kuandika sana nadhani wewe hujapita magumu mimi nikikueleza yaliyonipata apa unaweza jua ni jinsi gani uko salama lakini saikolojia yako ndo inagonjeka hivyo mwili una respond kwenye hisia zako mimi yalinikuta nilimaliza dalili zote za HIV hakuna hata moja ambayo sikuwa nayo balaa zaidi nilipoenda pima FBP na kukuta kinga imeshuka zaidi aseh asikuambie mtu niliteseka sana nachoweza sema Mungu ambariki sana yule dada daktari alinishauri kitu kikubwa sana aligundua tatizo langu lilikuwa wapi na wala sio HIV mana nilipima sikuwa na mambukizi now unaenda mwaka wa pili napima karibu kila mwezi niko salama kabisa

Ushauri acha kujitesa kwa stress mzee iko unachokiona kwa kipimo apo ni sahihi
Sawa cole williams nitafanya hivyo.
 
Sasa mlipimwa mkawa sawa... Hayo mengine ya nini....!

Unafosi sana kwamba una ukimwi..
 
Jamani wadau naomba kuuliza hiv HIV carrier huwa akipima anaonekana kama ana virusi ktk vipimo hivi vya kawaida
 
Haya ni mambo ambayo tukienda kupima tunatakiwa kuuliza, au tusipouliza tuambiwe tu na watoa huduma kama sehem ya elimu
 
Haya ni mambo ambayo tukienda kupima tunatakiwa kuuliza, au tusipouliza tuambiwe tu na watoa huduma kama sehem ya elimu
Nimeuliza wananambia hawana uelewa so kama kuna mtu mwenye experience na hili
 
Jamani wadau naomba kuuliza hiv HIV carrier huwa akipima anaonekana kama ana virusi ktk vipimo hivi vya kawaida
Kwanza una maana gani unaposema HIV carrier? HIV carrier ni mtu yoyote mwenye virus vya HIV lakini hajaanza kuumwa! Na unaposema vipimo vya kawaida una maana gani? Ni hivi... mtu mwenye HIV akipimwa kama kipimo kina quality inayotakiwa na mpimaji ana utaalam virus huonekana.
 
Naje mtu mwenye HIV carrier? Akipima virusi vinaonekana? Nipo serious jamani
 
Hamnaga HIV carrier!! Eidha una HIV au huna!! Tofautisha magonkwa mengine kama hepatitis B
 
HIV -Human Immunodeficiency Virus
VVU au UKIMWI Ukosefu wa kinga mwilini.

Ugonjwa uharibu mfumo wako wa kinga mwilini ambao huingilia uwezo wa mwili wako kupambana na viumbe/vijidudu vinavyosababisha magonjwa.

Kwa lugha nyepesi VVU ni maambukizi ya ngono (STI kitaalam)

Hiyo kitu umeandika pale 👆 HIV Carrier ni hali ya ugonjwa kuwa komavu mwilini, kitu ambacho kama ni wadudu wameufabya mwili kuwa dhohofu mara dufu au zile dawa za kupunguza makali zinashindwa kupambana nao ili kukupa hauweni.

ILA, hata ukiwa carrier ukipimwa utakutwa nao tu kijana wangu.


Mimi siyo bwana mganga a.k.a daktari.
 
Anamanisha wale wanao zaliwa nao
Ukizaliwa na HIV unakuwa nao hakuna ucarrier wala nini..
Magonjwa mengi ambayo yanakuwa na carriers ni yakurithi kama sickle cell au ugonjwa ambao unaupata lakini wewe sio "definitive host" mfano mbu hawezi pata malaria sababu yeye ni carrier au "intermediate host"..

Lakini kwenye HIV ni either unao au hauna
 
Back
Top Bottom