VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Poa mkuu nitafanya hivyo....asante kwa ushauri.
 

Mimi pia namshauri aende hospital akapime kipimo kikubwa
 
Pole pole asee, ila haya mambo ya kuuza mechi haya mhhh sikupatii picha mkali. Pole sana sema ukikutwa frxh utajikazaaa kutokuuza mechi kwa mda ila utasahau na kurudia.kua makini
 
Aliyekufumua chuo alifaidi sana.

K Ilikuwa bado tight
 
We kuwa na hofu sana ila omba usiupate ndugu yangu
 
Ivo nitatoa maelezo hapa mengi yatakayojib maswali yako tofauti


NAKUJIBU KAMA IFUATAVYO.

Kipimo ulichotumia ni nia aina ya kipimo ambacho kina uwezo mkubwa 100% wa kutambua maambukiz km unayo.

Ni aina ya kipimo ambacho kinatizama Antibodies yaan wanajeshi walozalishwa na kinga ya mwili kupambana na HIV.

Mtu anapopata maambukizi, huchukua kuanzia wiki 3--6 Wanajeshi hawa kuzaliwa naivyo wanaweza kugundulika. Hata ivo kama
[emoji117]Kinga ya mwili iko chini sana toka zaman, basi utachelewa kuzalisha wanajeshi.
[emoji117]unatumia madawa mfano yakutibu kansa..utachelewa pia.
[emoji117]Kama ulimeza PEP utachelewa pia.
YAAN WANAJESHI WATALAZIMIKA MPAKA MIEZ 3---6 NDO WAWE WENGI KIASI CHA KUGUNDULIKA NA HIVI VIPIMO.

Lkn kama kati ya hayo uko poa Basi ni wiki 3-6 kitu tayari ..


Wewe umepima baada ya Miezi 3 ... Hii inamanisha ni muda ambao kila mwanadam kama amepata maambukizi na yuko vzur atakua keshazalisha hawa wanajeshi ivo atagundulika tu, ndio maana tunasema pima kila baada ya MIEZI MITATU.

Kwa ufupi, majibu baada ya wiki 4--6 hutambua asilimia 95% ya maambukizi... Na miezi 3 100% ya maambukizi.


Kwaiyo wewe kwa miezi 3 niseme hauna HIV...labda km umegongana tena hapo katikati .



Kuhusu uyu Dada.... Kama mmepima, namajibu yako salama basi ujue yuko salama kabisa .


Mwishooo... Dalili haziwezi kutumika kukusaidia wewe kujifanyia vipimo binafsi.


Na nikuambie hii kitu... Ukiwaza kua una HIV alafu ukasoma Hizo habar mitandaoni..HAPO HAPO utakua umeilazimisha akili yako ianze kuzitengeneza Dalili ulizoambiwa.



Dalili za HIV awali, huwa ni zinatokea wiki ya 2-4 baada ya maambukizi.
Zinakaa wiki moja..baadae zinasepaaa..hazirudi tena..zikirudi ujuwe zinarudi kama NGOMA yenyewe.


Naaaaaaaaa , kwa maelezo ulotoa, HAPO SIJAONA DALILI HATA MOJA YA HIV.


DALILI ZA HIV ZINATOKEA NYINGI KWA WAKATI MMOJA , AU KIPINDI KIMOJA.
 
wakuu mbna mnanitisha?yaan nahc kuchana mkeka kwan nmetokwa kweny Y ya mwanamke ss iv na huwa sina tabia ya kutumia zana,nahic mkeka umechanika
 
Nimependa mtazamo wako kama nikupendavyo wewe mwenyewe
 
Kumbe huwa unacheza peku peku? 😜😜😜

 
Magonjwa mengine huwa tunayatengeneza wenyewe kwa mawazo yetu ndipo mwili unarespond. Kuna kipindi niliwahi umwa nikawa nahisi dalili mchanganyiko basi ilikuwa hata kama nitaona mada yoyote kuhusiana na HIV, iwe mtandaoni,Tv hata redioni basi mwili ulikuwa unadhidi kudhoofu mpaka nikajitoa kwenda kumwona daktari. Baada ya vipimo na kunipa majibu kuwa Negative dalili na magonjwa yote yakapotea. Hofu unayojijengea ni ugonjwa namba moja kuliko magonjwa mengine yote au hata dalili za HIV unazojijengea, kama ulishakwenda kumuona daktari na vipimo vikasema huna ondoa hofu kijana.
 
Jambo la ushauri tu bro
nadhani uko salama kisaikolojia umeumia tu ila kimwili uko poa
sometimes ni matokeo ya ile hofu illiyokujaa kaka

Mbali na hivyo HIV Au Kisukari sio mwisho wa maisha wala sio mwisho wa kufikia ndoto zako,
Japo kwa maelezo naona ni kwamba umedhurika kiakili tu.

Ninda kwa washauri wenyewe ndio tiba yako nzuri itaanzia hapo, by the way kupata hiv ni ngumu mno kuliko unavyofikiria broo
ingekuwa ni rahisi basi kila mtu angekuwa na ngoma maana tunaoujua uhalisia tunaona kweli Mungu anamipango yake na wanadamu

Ila pumzisha akili yako, jaribu kukubali uhalisia ili uondoe mzigo uliopo kichwani

karibu kwetu utembee kidogo tupate shot moja moja na washkaji tupige stori upewe uwanja utuleze washkaj then tutaongea pamoja kama mjadala you will be okay broo

but hata usijari hauna shida kubwa kaka mimi niliwahi hisi ninaumwa pia miaka fulani nyuma hadi nikienda kuoga naona kabisa nywele zimekuwa laini kumbe ilikuwa feelings zangu tu
Umeumia kiakili tu bro
But naona uko sawa its just stress tu, umeikubali hali ambayo wewe hauna broo, mwili umepata hofu viongo vimekuwa na uvivu basi misuli inakakamaa unakuwa na uchovu mwisho wa siku unajiona mda wote unaumwa

Malaria unaweza kuwa nayo hata bila kuumwa
just relax kunywa maji zaidi tumia matunda ya kutosha piga shot moja kila jioni mwili ukae sawa
nenda mahali salama na tulivu katulie na mambo yaende sawa
tafuta hata season moja anza kuifuatilia akili itakaa sawa

unahitaji ushauri zaidi kuliko tiba broo

am out
 
Hapo mkuu andaa mirathi huna muda mrefu kwa upendo anza dozi mapema tuendelee kuwa wote humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…