VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Hahaaaaa! Hofu mbaya sana, na hapo majibu ni mawili tu, either you're -ve or +ve, sasa shughuli ni kwenye kusubiria coz hutajua yatakujaje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaaa. Wacha kabisa kaka.

Ila natumai kwako Kaka itakuwa tofauti? [emoji12]
 
Hahaaa. Wacha kabisa kaka.

Ila natumai kwako Kaka itakuwa tofauti? [emoji12]
Mi sitakimbia, nitapima kiroho safi maana kazini tu huwa tunapimwa utake usitake [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mi sitakimbia, nitapima kiroho safi maana kazini tu huwa tunapimwa utake usitake [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaa. Ila hiyo kupima taka usitake si inakuwaga ile mwazo tu [emoji12] na baada ya hapo maisha mengine si yanaendelea.

Au ndio wakisema mrudie kama ile mwanzo hutakuwa huna jinsi.
 
Hahaaaaa that would be a psychological torture! Unapimwa kwa lazima na kukabidhiwa majibu yako kwa lazima[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Utajua wewe mwenyewe sisi tunatekeleza amri kutoka kutoka mamlaka za juu....
 
Hahahaaa. Ila hiyo kupima taka usitake si inakuwaga ile mwazo tu [emoji12] na baada ya hapo maisha mengine si yanaendelea.

Au ndio wakisema mrudie kama ile mwanzo hutakuwa huna jinsi.
Kila baada ya miezi kadhaa hasa kukiwa na operation Fulani. Lazima upimwe
 
Ndio mkuu

Hata sisi wenyewe hatupendi lakini hatuna budi kutii mamlaka za juu

Lazima tuwapime na lazima tuwape majibu hata kama mmefumba macho au kwa kukunong'oneza
Mnaambatana na mwenyekiti wa mtaa na balozi wa nyumba kumi...nyumba kwa nyumba...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sio ustaarabu mjue hatukuzoeshwa hivyo na jakaya.
 
Tumalize kujenga viwanda kwanza kisha tuingie kwenye mchakoto wakupima vvu kwalazima tukima liza tuhamie kwenye tezi dume mwisho tume malizie na nguvu za kike kuna wanawake wengi awana nguvu za kike mpaka wanatishia uchumi wa viwanda nao tutawapima kwa lazima
...Agizo kutoka juu...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kweli safari hii tumekamiwa,mara tezi dume kwa lazima mara VVU kwa lazima...!!!
 
Watanikuta wapi?

Unakimbia nini?
Utakuja kupima wakati ni too late.
Majibu yote yana faida.

Ukikutwa na VVU unachukua hatua sahihi ( kuepuka maambukizi mapya, kuepuka kuambukiza wengine, na kuzuia usiende kwenye hatua ya UKIMWI).

Ni kama unavyokutwa na kisukari au shinikizo LA damu, hayana tiba ila unazuia complications zake kwa kuyadhibiti.

Ukikutwa huna then unaendeleza mapambano ya kuhakikisha hupati.
Unaogopa kupima Leo kwa kujihisi, unaacha kuchukua tahadhali then unakuja kupata maambukizi many years after ulipojihisi.

Kutokupima ni kujidanganya, utakuja kupimwa ukiwa hata huna nguvu ya kusema sitaki kupimwa.

Wakati ni huu, tukomae kufikia 90, 90, 90 hatimaye VVU/ukimwi vidhibitiwe kama Ukoma.
 
Kwani lazima kupima kwenye hii kampen ya kwalazima? Kwanini wasitumie AMREF kufanya zoezi hili shida sio kupima shida niwaliko nyuma ya zoezi ili wasio julikana
 
Kwani lazima kupima kwenye hii kampen ya kwalazima? Kwanini wasitumie AMREF kufanya zoezi hili shida sio kupima shida niwaliko nyuma ya zoezi ili wasio julikana

Haya macho ya panzi.
Mkataa pema•••••••.
Wito ni kupima VVU na kujua hali yako ili uchukue hatua sahihi. Tafakari.
 
Haya macho ya panzi.
Mkataa pema•••••••.
Wito ni kupima VVU na kujua hali yako ili uchukue hatua sahihi. Tafakari.
Kupima vvu sio kama kupima mkojo kujua kama mtu ni mchoze au raia mwema Mkongo anakuambia vitu viwili vyakuachana
 
Ushaur wangu izo ela za vifaa wazipeleke kwenye kila kijiji
Ahadi ya 50m
Hakuna haja ya kupima tuna force mambo tu for no reason
Tunapima vip wakat vipmo vyenyewe n rapid test with almost 75% accuracy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wasiwasi wangu ni kwamba zoezi hili linaweza likawahusu wanaume wa Dar pekee!
 
Ikiwezekana wapimwe tu kwa kweli.

Hahaaaa. Ila sipati picha walio wengi mapigo ya moyo yatakavyokuwa yanawadunda hasa ule wakati wa majibu.
hahaa ukiona unaenda kupima ujue umepita sehemu hatari lazima uwe na wasiwasi umekanyaga waya, naupendaga ule muda maana ndio unaanza kutafakari maisha yako kwa ujumla, unajiapiza sitafanya ujinga tena,ila ukipita tuu mda na Mungu alivyowajalia wanawake ndio basi tena aacha mtuue tuu (hakuna ubishi wanaume wanaangamizwa na wanawake, hii ni fate kutoka kwa adam na hawa)
 
Back
Top Bottom