Hahaaa. Wacha kabisa kaka.Hahaaaaa! Hofu mbaya sana, na hapo majibu ni mawili tu, either you're -ve or +ve, sasa shughuli ni kwenye kusubiria coz hutajua yatakujaje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi sitakimbia, nitapima kiroho safi maana kazini tu huwa tunapimwa utake usitake [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaa. Wacha kabisa kaka.
Ila natumai kwako Kaka itakuwa tofauti? [emoji12]
Hahahaaa. Ila hiyo kupima taka usitake si inakuwaga ile mwazo tu [emoji12] na baada ya hapo maisha mengine si yanaendelea.Mi sitakimbia, nitapima kiroho safi maana kazini tu huwa tunapimwa utake usitake [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mtoto mzuri kama mimi nikose ngoma kwelii[emoji23][emoji23][emoji23]Tema mate chini!! Namshukuru MUNGU mi niko fresh kama cucumber!!
Sijui wewe, huna ngoma kweli mama Sabrina?
Utajua wewe mwenyewe sisi tunatekeleza amri kutoka kutoka mamlaka za juu....Hahaaaaa that would be a psychological torture! Unapimwa kwa lazima na kukabidhiwa majibu yako kwa lazima[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duhhh!! Siyo masihara ngoma ni adhabu mbaya sana.Mtoto mzuri kama mimi nikose ngoma kwelii[emoji23][emoji23][emoji23]
Kila baada ya miezi kadhaa hasa kukiwa na operation Fulani. Lazima upimweHahahaaa. Ila hiyo kupima taka usitake si inakuwaga ile mwazo tu [emoji12] na baada ya hapo maisha mengine si yanaendelea.
Au ndio wakisema mrudie kama ile mwanzo hutakuwa huna jinsi.
Oooh. Sawa kabisa.Kila baada ya miezi kadhaa hasa kukiwa na operation Fulani. Lazima upimwe
Mnaambatana na mwenyekiti wa mtaa na balozi wa nyumba kumi...nyumba kwa nyumba...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sio ustaarabu mjue hatukuzoeshwa hivyo na jakaya.Ndio mkuu
Hata sisi wenyewe hatupendi lakini hatuna budi kutii mamlaka za juu
Lazima tuwapime na lazima tuwape majibu hata kama mmefumba macho au kwa kukunong'oneza
Kawaida sana!!Oooh. Sawa kabisa.
Hivyo litakuwa jambo la kawaida tu kumbe.
...Agizo kutoka juu...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli kabisa Kaka.Kawaida sana!!
Kikubwa watu tujue afya zetu ndio mitaji yetu, tujitunze aisee!!
Watanikuta wapi?
Kwani lazima kupima kwenye hii kampen ya kwalazima? Kwanini wasitumie AMREF kufanya zoezi hili shida sio kupima shida niwaliko nyuma ya zoezi ili wasio julikanaUnakimbia nini?
Utakuja kupima wakati ni too late.
Majibu yote yana faida.
Ukikutwa na VVU unachukua hatua sahihi ( kuepuka maambukizi mapya, kuepuka kuambukiza wengine, na kuzuia usiende kwenye hatua ya UKIMWI).
Ni kama unavyokutwa na kisukari au shinikizo LA damu, hayana tiba ila unazuia complications zake kwa kuyadhibiti.
Ukikutwa huna then unaendeleza mapambano ya kuhakikisha hupati.
Unaogopa kupima Leo kwa kujihisi, unaacha kuchukua tahadhali then unakuja kupata maambukizi many years after ulipojihisi.
Kutokupima ni kujidanganya, utakuja kupimwa ukiwa hata huna nguvu ya kusema sitaki kupimwa.
Wakati ni huu, tukomae kufikia 90, 90, 90 hatimaye VVU/ukimwi vidhibitiwe kama Ukoma.
Kwani lazima kupima kwenye hii kampen ya kwalazima? Kwanini wasitumie AMREF kufanya zoezi hili shida sio kupima shida niwaliko nyuma ya zoezi ili wasio julikana
Kupima vvu sio kama kupima mkojo kujua kama mtu ni mchoze au raia mwema Mkongo anakuambia vitu viwili vyakuachanaHaya macho ya panzi.
Mkataa pema•••••••.
Wito ni kupima VVU na kujua hali yako ili uchukue hatua sahihi. Tafakari.
hahaa ukiona unaenda kupima ujue umepita sehemu hatari lazima uwe na wasiwasi umekanyaga waya, naupendaga ule muda maana ndio unaanza kutafakari maisha yako kwa ujumla, unajiapiza sitafanya ujinga tena,ila ukipita tuu mda na Mungu alivyowajalia wanawake ndio basi tena aacha mtuue tuu (hakuna ubishi wanaume wanaangamizwa na wanawake, hii ni fate kutoka kwa adam na hawa)Ikiwezekana wapimwe tu kwa kweli.
Hahaaaa. Ila sipati picha walio wengi mapigo ya moyo yatakavyokuwa yanawadunda hasa ule wakati wa majibu.