VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Kiufupi km ulivyosema mkuu kuparamia km kuku sio inshu kabisa japo kuna kipindi nilikua na tabia ya kuparamia ka jogoo ukame uliponizidi au vile vimechi vyakuiba wake za watu af tena akiwa kwake huwez kukumbuka hii mbinu sema nimesalimika kabisaa licha ya kujaza [emoji590] newforce km 15 hiv[emoji5][emoji5]
 
Mbinu Hii Nilitumia toka Mwaka 98, Mpaka leo.. zaidi ya wanawake 450+ na niko safii..
Sina hakika sana kama unaweza kufikisha idadi kubwa namna hii, ingekuwa hata 70+ sawa.
 
Mnapotosha vijana
Kijana asiyekuwa na uwezo wa kufilter anayoyasoma humu ni mzigo kwa Taifa.

Hakuna mtu mtundu ambaye anaweza akawa na rekodi alikula uroda na wanawake wangapi, binafsi siwezi kukumbuka hata mwingine mkikutana labda akukumvuke yeye.

Watu waadilifu ndio anajuwa kwa hakika tangu abarehe amesex na wanawake wangapi, mwingine wawili tu wa tatu kafunga naye ndoa mchezo umekwisha na wala hachepuki.
 
Back
Top Bottom