American Ninja
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 226
- 307
Habari Natafuta Gari VW Touareg., Budget Yangu Ni Tsh Mil 20. Kwa aliye nayo anaweza kuniPM, Nikipendezwa nayo tufanye biashara.
Asante
Asante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa hata Vits HapatiKwa hiyo bei hata Brevis hupati [emoji3525]
Budget itakayofaa ni kuanzia ngapi nduguKwa hiyo bei hata Brevis hupati ☹️
Hiyo gari haifai, kwahiyo hakuna budget inayofaaBudget itakayofaa ni kuanzia ngapi ndugu
Unatania au unasema kweli nduguHahahaa hata Vits Hapati
Unanishauri nitafute gari ipi kwa budget hiyo ndugu. Sina Uzoefu sana na magariHiyo gari haifai, kwahiyo hakuna budget inayofaa
So Niongeze budget au nishuke? Ushauri plsKwa Budget hiyo ukiambiwa kuna Touareg inauzwa na huna uzoefu wa magari kwa kweli ikimbie, mwenye nayo atakuwa kafanya diagnosis kaona ni msala
kama uko aerious nichekHabari Natafuta Gari VW Touareg., Budget Yangu Ni Tsh Mil 20. Kwa aliye nayo anaweza kuniPM, Nikipendezwa nayo tufanye biashara. Asante
View attachment 1902274
mpaka 4 mkuuAcha kumtisha mkuu, brevis hizi za milion 5 mtaani na tajiri hakuna au?
Sent using Jamii Forums mobile app
tafuta ipsumHabari Natafuta Gari VW Touareg., Budget Yangu Ni Tsh Mil 20. Kwa aliye nayo anaweza kuniPM, Nikipendezwa nayo tufanye biashara. Asante
View attachment 1902274
Hiyo hapana mzeetafuta ipsum
Upo mkoa gani ?Dar Es Salam
Zina matatizo gani nduguHamna gari humo pasua kichwa hilo yani hapa mjerumani alifeli kama muingereza kwenye rand rover 110
Unazungumzia Brevis ipi mkuu? Kama una milioni 8 - 10 unavuta Brevis matata kabisa...Kwa hiyo bei hata Brevis hupati [emoji3525]