igogondwa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2021
- 2,597
- 3,373
Ingia Instagram kuna jamaa anauza nzuri sana milioni 21 waweza mshusha ukachukua ndinga, pia anazo Subaru Forester kali sana kuanzia 20 - 22 milioni...Habari Natafuta Gari VW Touareg., Budget Yangu Ni Tsh Mil 20. Kwa aliye nayo anaweza kuniPM, Nikipendezwa nayo tufanye biashara. Asante
View attachment 1902274