VW Touareg Inatafutwa, Budget ni Tsh Mil 20

VW Touareg Inatafutwa, Budget ni Tsh Mil 20

Hata ww chungulia chief, utaona kodi ya toureg 2006, cc2001-2500 ni milioni 12 na chenji..
Hivyo akichagua ya milioni 10 hivi.. Pesa yake aongezee kidogo tu anachukua used toka duniani huko, kwetu mpya.
Kuna kitu unachanganya. Touareg engine ndogo kabisa ni cc2500 diesel yaani 2.5Tdi. Then kuna 3.0Tdi, 3.2 petrol na kuendelea.
 
Kuna kitu unachanganya. Touareg engine ndogo kabisa ni cc2500 diesel yaani 2.5Tdi. Then kuna 3.0Tdi, 3.2 petrol na kuendelea.
Katika tra calculator cc 2500 inaangukia katika kundi la gari za kati ya cc2001-2500, kisha kundi linalofata ndio cc2501-3000 na kuendelea.
Jaribu kuicheki gari utaona kodi yake chief.
 
Brevis hizo mnazopigaga kelele humu na kubana pua kwamba ni milioni 5 hivi mmeshawahi kununua mkaona matokea yake? 😂😂 ,Brevis mtu akikuuzia kwa bei chini ya 10m usinunue
Mshahara wa aliyekuwa msema wa Mnyama unanua Brevis,tena ukiona wanalazimisha kununua
 
Habari Natafuta Gari VW Touareg., Budget Yangu Ni Tsh Mil 20. Kwa aliye nayo anaweza kuniPM, Nikipendezwa nayo tufanye biashara.

Asante

Nimechungulia Be foward CIF price ina range kwenye 8-12M, ushuru TRA ni kama 10M so kwa hiyo budget yako unaeza pata mkoko mzuri tu kwa kuagiza. Kikubwa usiwe na haraka hata kama utapata ya kununua mkono kwa mtu hapa Bongo... nenda taratibu!!

Screenshot_20210823-085949_Chrome.jpg


Screenshot_20210823-085716_Be Forward.jpg
 
Back
Top Bottom